Hebu tabiri Makonda anamiss kitugani leo sherehe hizi kufanyikia Dodoma

K M S

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
524
424
Mara zote sherehe hizi za muungano zimekua zikifanyikia dar esalaam ambako mwenyeji ni mkuu wa mkoa na hupata nafasi kuzungumza na kumkaribisha Rais nahisi leo kunakitu makonda kamiss nikitu gani hicho??
 
Anamiss kuonekana kwenye tv kwa bahat mbaya coz sikuiz anategemea matukio ka hayo ndo yamtoe runingan sio yale ya yy mwenyewe kuita waandsh
 
Back
Top Bottom