Laptop67.Uzuri wa Serikali inaamua inavyotaka Kwa manufaa ya WaTanzania na ilani za chama tawala.Sio unavyo taka wewe au kuwaridhisha wapinzani.Nime isikia sana hiyo Ngonjera ya "Akili ndogo zitaendelea kutawala akili kubwa"
Wapinzani wakiongoza nchi wafanye wanavyo penda wao Kwa manufaa ya WaTanzania.
Kwa hiyo ilani ya chama tawala ilitengenezwa kutokufuata utaratibu,ujinga uliopitiliza huo,mtu anafanya ujinga kwa kuwaumiza watu halafu unataka kutetea