Hebu soma kisha toa maoni kwa serikali yako

Laptop67.Uzuri wa Serikali inaamua inavyotaka Kwa manufaa ya WaTanzania na ilani za chama tawala.Sio unavyo taka wewe au kuwaridhisha wapinzani.Nime isikia sana hiyo Ngonjera ya "Akili ndogo zitaendelea kutawala akili kubwa"
Wapinzani wakiongoza nchi wafanye wanavyo penda wao Kwa manufaa ya WaTanzania.

Kwa hiyo ilani ya chama tawala ilitengenezwa kutokufuata utaratibu,ujinga uliopitiliza huo,mtu anafanya ujinga kwa kuwaumiza watu halafu unataka kutetea
 
Time will tell whether you right or not...off cause we are waiting to see Tanzazibabwe economy situations in few years, to come....
 
Kujenga uchumi wa kati siyo lele mama,Tunahitaji kujua tuko wapi na tunaenda wapi?Weka siasa pembeni,acha kufikiria mpizani kama ndiye kikwazo cha maendeleo,Acha kufikiria aliyeko madarakani ndiye anastahili kufanya hiki na kile.Kujenga uchumi hakuhitaji maneno ya nini kifanyike na kipi kisifanyike.Taifa linapaswa kuwa na Dira sahihi ya maendeleo.Ndani ya Dira hiyo kuwe na vipau mbele mahususi vya kutufikisha kule tuendako.Siyo fikra za mtu mmoja aliyepewa dhamana wala siyo fikra za chama fulani.Ni mkakakati endelevu wa kitaifa wenye dhamira thabiti ya kufika pale tulipokusudia.Haya madogo madogo ya kuziba nyufa ,kuweka viraka yapewe nafasi pale uelekeo wa kule tuendako umeonekana.Maneno mengi sana na petty issues ni kuondokana nayo.Tuache kujihami kuwepo madarakani miaka kumi isiyo na tija !Tanzania sisi siyo kisiwa tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa waliokwisha kupiga hatua.Tusiwe wagumu wa kusikia ushauri kutoka kwa waliofanikiwa.Tujikite pia kukubali misaada kujijenga zaidi kuliko kuelekeza lawama kwa wahisani kwamba kushindwa kwetu wao ndiyo sababu,Tuepuke visingizio na kuwa watu wa kulaumu.Tumejaa lawama na kujitia kuwa tunaweza hata bila misaada.Si kweli !Kumbuka historia ya nchi zilizoendelea ukiachilia mbali nchi za Kikomunisti zote zimepata maendeleo yao kutoka katika utegemzi.Kama siyo ukoloni mkongwe basi ukoloni mamboleo -huo ni utegemezi pia.
 
Hoja kama hizi ni nzuri. Zinayufundisha na kutupa fursa za kutafakari. Hoja hizi zinapanua mawazo.

Mfano mzuri umetoa. Je, Tanzania inajiendesha inavyotakiwa nchi kujiendesha?

Mfumo wa Uongozi halisi.
Chama kilitakiwa kiwe peke yake
Serikali ilitakiwa iwe peke yake.

Sawa na hardware na software.

Lakini Tanzania yetu kumekuwa na mseto. Software ndio hiyo hardware, na hardware ndio hiyo operating system na ndio hiyo hiyo pia anti virus. Itawezekana kweli na ndio maana tunajikuta kwenye hali ngumu.

Tumeona "Hamu Binafsi" ndizo zinaweza kuwa Sera zitakazo tawala nchi yetu.

Hatuwezi kwenda kwenye kiwanda kinachotengeneza dawa tukataka kujitibu Ugonjwa. Kuna Hospitali, kuna Dakitari, Kuna Mahabara, kila Ugonjwa na dawa yake na pia kuna wauguzi. Leo hii Kiwanda cha dawa ndio Hospitali, Ndio Maabara, ndio Dakitari, ndio Wauguzi, mgonjwa (mwananchi) atapona?

Wakati Wazungu wametumia sayansi na teknolojia kundundua dawa ya Ukwimu na Kisukari, sisi tunakimbilia kikombe cha Babu.
Kwenye karne ya 21?

Hapa hatukosoi, hapa tunakumbushana na kuelimishana.

Kuna mfano bora wa Uongozi zaidi ya ule tutakaojifundisha kutoka SADC, kwa wakati huu?
Kwanini turudi na tusiegemee huko?

Tumejikita, kushindania au kufuata mifano au kutaka kuwa kama nchi za maziwa makuu, nchi zenye historia ya migogoro na zisizokuwa na nidhamu au mifano mizuri ya Uongozi. Nchi zisizothamini utu na thamani ya Ubinaadamu.

Tusisahau Azimio 2076 la Baraza kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa, ndio lililoidhinisha kupeleka wanajeshi wetu Congo kulinda amani. Wanajeshi wetu hawakwenda kujenga viwanda vya Ice Cream huko.

Tumeisahau Pretoria "Economical Giant" wa bara hili. Na Pretoria ndio iko madarakani leo kupitia Ubarikio wetu na mchango wetu wa awali.

Pretoria ni watu safi, Waaminifu, Kiuchumi, Kiusalama, Kisiasa na hata katika sanaa na utamaduni wa Mwafrika. Ni sehemu Mwafrika anaweza kutimiza ndoto yake. Ni watu wanatupenda na kutuelewa.

Mcheza kwao hutunzwa.

c8868ca480f3da0af077aa0ebdb313aa.jpg
Shukrani sana kwa uchambuzi wako murua
 
Nime quote statement yako hapa chini, wewe umeshamaliza MJADALA hapo chini, unataka tujadili nini tena? yani umeconclude paragraphy ya 2 ya Insha yako. Nyie ndo wasomi wetu!

"Huu ni uongo wa mchana, lakini ni uongo wa kisomi, ni uongo unaopangiliwa na ili uujue inabidi uwe muongo uliyeusomea kama hawa waongo magwiji wanaotudanganya ambao wengi wamesomea hasaa.... tena kwa kodi zetu wenyewe ii watudanganye..."
Nadharia ya hoja yangu haipo kwenye ushauri bali maoni tu, unayo fursa ya kufikiri kinyume
 
Tulipo maliza season ya bombadia,,,sasa hivi tuko kwenye season mpya inaitwa faru john,,!na tuko epsod 4,ambapo kaburi lake imesadikika kuwa halipo,tusubiri epsod ya 5,tujue nani mkweli kati director na waigizaji...!!tutafika tu 2020,,!!
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom