Hebu soma hii story nzuri ya upendo

Hebu soma hii story nzuri ya upendo

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
834
Reaction score
450
Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo jike alienda mapema sana na kukaa juu ya UA.
Masikini alichokikuta...!!

Ua lilipofunguka, alishtuka kuona kwamba kipepeo dume amekufa ndani ya UA. Kumbe yeye kaingia tangu jioni alikuwa anasubiri kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda...!!
Jee...!! wewe, utamuonesha nn umpendaye ili aone ni kiac gani unampenda...?
 

Attachments

  • 166203_114844678587522_2352349_a.jpg
    166203_114844678587522_2352349_a.jpg
    6.3 KB · Views: 936
sihitaji kumuonesha mtu kitu, naishi naturally, if you are good people or your mate will see.
 
sihitaji kumuonesha mtu kitu, naishi naturally, if you are good people or your mate will see.

Hapo naogopa kumwonyesha manake nikipanga nimwonyeshe nami ntakufa kama kipepeo dume

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Nafikiri concept nzima ni kuishi kwa kupendana, kuthaminiana na kusaidiana. Kama una upendo wa kweli, matendo yako yatajionyesha yenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom