Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,258
Huyu mzee atakuwa ameona nini?
Kwa hiyo kaulimbiu bado inaendeleaKATAA NDOA. TUNZA KIBUNDA CHAKO...@dronedrake
You are not a man unless you are married!Huyu mzee atakuwa ameona nn?
Hiyo ndio inafanya kweli watu wakimbie kuoa?Tatizo wanaume wa siku hizi wamekuwa mabitoozi ndo maana hata wake zenu wanawadharau! Mwanaume unatakiwa huwe dikiteta, fashist huku ukizingatia haki za msingi za mwanamke kama malazi bora, mavazi, na chakula!
Kua fascists utaishia kupelekwa lupango au kaburini kabla ya siku zako zama zimebadilika...kama hujajiandaa kisaikolojia kataa ndoa.Tatizo wanaume wa siku hizi wamekuwa mabitoozi ndo maana hata wake zenu wanawadharau! Mwanaume unatakiwa huwe dikiteta, fashist huku ukizingatia haki za msingi za mwanamke kama malazi bora, mavazi, na chakula!
Mzee Ametoa Experience Yake, Wako Wenzake watashaur Angalau Uoe kwaio A Win Win SituationHuyu mzee atakuwa ameona nn?
Unajua kuwa fascist? Dictator? Sio kuvunja sheria! Ni mfumo fulani wa maisha wa kumtiisha mwanamke akutii! Cha msingi mpe haki zake! Hata hivyo wanawake wanataka wanaume mafascist/dictatorship, authoritarian!Kua fascists utaishia kupelekwa lupango au kaburini kabla ya siku zako zama zimebadilika...kama hujajiandaa kisaikolojia kataa ndoa.
Mzee alitendwa Huyu sio bureeHuyu mzee atakuwa ameona nn?
Asipo respond na mdundo wa ngoma yako ndo mwanzo wakudungana visuUnajua kuwa fascist? Dictator? Sio kuvunja sheria! Ni mfumo fulani wa maisha wa kumtiisha mwanamke akutii! Cha msingi mpe haki zake! Hata hivyo wanawake wanataka wanaume mafascist/dictatorship, authoritarian!
Pima urefu wa kina kabla ya kuogelea! Mpime huyo unayetaka kuoa kama utammudu vinginevyo piga chini! Panua wigo broh! Wanawake wengi wa kuolewa waliotayari kutii waume zao wapo!Asipo respond na mdundo wa ngoma yako ndo mwanzo wakudungana visu
Watu kama huyu Mzee huwezi mmudu mke! Huyu Mzee ni dhaifu! It takes a strong, hard and the brave to be called "a man" or "Spartan"Mzee alitendwa Huyu sio buree
Very true..Watu kama huyu Mzee huwezi mmudu mke! Huyu Mzee ni dhaifu! It takes a strong, hard and the brave to be called "a man" or "Spartan"
Hata Biblia imeandika mwanamke mkorofi ni mateso Kwa mumewe wewe ni nani upinge.Watu kama huyu Mzee huwezi mmudu mke! Huyu Mzee ni dhaifu! It takes a strong, hard and the brave to be called "a man" or "Spartan"
Kwahiyo unataka kuniambia kila mme aliyeoa anaishi maisha ya shida na mkewe? Mimi naishi peaceful na my wife changamoto ndogo ndogo zinanisaidia jioni kumpelekea moto mpaka anapiga poo! Wako wengi wanamissiana na wenza wao kila dakika! Kama unaishi maisha ya msoto basi na wewe ni mwanamme dhaifu!Hata Biblia imeandika mwanamke mkorofi ni mateso Kwa mumewe wewe ni nani upinge.
Kila mtu ana experience yakeKwahiyo unataka kuniambia kila mme aliyeoa anaishi maisha ya shida na mkewe? Mimi naishi peaceful na my wife changamoto ndogo ndogo zinanisaidia jioni kumpelekea moto mpaka anapiga poo! Wako wengi wanamissiana na wenza wao kila dakika! Kama unaishi maisha ya msoto basi na wewe ni mwanamme dhaifu!