Ms. Kadadaa jumapili
Senior Member
- Jul 9, 2013
- 102
- 48
Nimesoma procurement na nina degree niko mtaan toka 2011, sina hata mtaji, naomba atakayeweza kunipa au kuniunganisha kwenye kazi yoyote halali ila si ya uhouse girl naomba ani PM.
Ushauri wenye manufaa unakaribishwa pia.
Nipo Arusha.
Ushauri wenye manufaa unakaribishwa pia.
Nipo Arusha.