Habari zenu,
Kama unataka kununua au kuuza kitu kwa haraka nitafute mimi kwa PM
iwe ni simu, nyumba, kiwanja chochote kasoro mavazi
karibuni PM
Mkuu sijui uko na matatizo, nashindwa hata kukuelewa kwa kweli, mara nyingi unalazimisha watu waje kwenye blog yako, kama watu hawataki usiendelee kung'ang'ania waache, unapoteza muda wako bure.