Hebu ona mwenzako nilivyoanza kujiajiri!

kajitoleen hata lawfirms,mpate uzoefu! Km hamtak kuendelea na carrier endeleen na matikitimaji! HATA LAWSCHOOL hamjasoma mnataka ajira,limen matikitimaji huko kwenu!

Hivi unajua huko law firms wanafanyaje..wewe jamaa mpaka umeona mtu ameweka LL.B pemben ujue si kitu kidogo..jombaa..wazazi wanatuhamasisha tusome tuje kupata ajira wewe uliyesoma na mwenye ajira unakipi cha ajabu..kama sio liabilities tu..ambazo kwa akili yako unafikiri ni assets..hongera jamaa nimekusoma..hapo kwenye diploma daaah umetisha watu wanajikuta mabishoo sana..!!
 
Hongera kwa uthubutu kijana, ni vijana wachache wenye uthubutu kwa sasa, tatizo ni mfumo wetu wa elimu...

Ila nakutahadharisha kuwa safari bado ni ndefu sana kwako, usiwabeze wenzio wa ustawi wa jamii kwa kushindwa kuingia kwenye kilimo bali weka juhudi na usubiri mafanikio. Kwa mujibu wa maelezo yako ni kuwa hata mavuno bado ndio kwanza mahindi yamechomoza. Kuna safari ndefu sana na yenye changamoto nyingi hadi uuze hayo mahindi, uvumilivu unahitajika sana. Pia usitegemee msaada wowote hata wa ughani kutoka kwenye hii serikali yetu kwani imetelekeza wakulima wanapigana kivyao, nawe pigana kivyako
Una maana asitukane mamba kabla hajavuka mto?
 
nimekubali kaka hata mimi nawza kupata kama ekari 50 za kuanzia, japo nipo ktk ajira lakini bado kuwa na diversity source of income the best solution, hongera sana naamini Mungu atakupigania utafanikiwa kaka!
 
Hivi unajua huko law firms wanafanyaje..wewe jamaa mpaka umeona mtu ameweka LL.B pemben ujue si kitu kidogo..jombaa..wazazi wanatuhamasisha tusome tuje kupata ajira wewe uliyesoma na mwenye ajira unakipi cha ajabu..kama sio liabilities tu..ambazo kwa akili yako unafikiri ni assets..hongera jamaa nimekusoma..hapo kwenye diploma daaah umetisha watu wanajikuta mabishoo sana..!!

i think hayo n maneno ya robert kiyosaki...building yo asset column instead of yo liablty...
 
Hivi unajua huko law firms wanafanyaje..wewe jamaa mpaka umeona mtu ameweka LL.B pemben ujue si kitu kidogo..jombaa..wazazi wanatuhamasisha tusome tuje kupata ajira wewe uliyesoma na mwenye ajira unakipi cha ajabu..kama sio liabilities tu..ambazo kwa akili yako unafikiri ni assets..hongera jamaa nimekusoma..hapo kwenye diploma daaah umetisha watu wanajikuta mabishoo sana..!!

Jamaa pia katoa ushauri mzuri usimpinge....kwa sababu aliepost nae amewakejeli wengine....kila mtu na maono yake
Huyu nae anataka kudevelop career yake na sio sheria kutupwa kwenye mahindi...
Kilimo kaenda kama last ultimatum na sio priority....kazi ambayo haina security now and in your elderhood nayo ni matatizo...ndio maana definition ya umaskini hapa Tanzania ni kilimo au kuwa mkulima.
 
hii definition yako syo sahihi mkuu! Security inategemea na the way unavyofanya investment zako mwenyewe!
 
Sijasema ni sahihi....ili upate mkopo vyuoni uandike mtoto wa mkulima (mtu asieweza kumudu maisha)....maisha yakikushinda mjini nenda kalime (kauli za viongozi wetu)....whether you like it or not....hata mtoa mada kaenda kwenye kilimo grudgedly na sio his dream....na hayuko certain na masoko!
Investment sio security ni source of finances....securities ni bima na akiba kwenye mifuko ya jamii!
 
mbpuuuuu kumbe ww ni ssm huna lolote kafie mbali huko tena huwezivna unajivunia ssm wakati imeshindwa hata kukupa ruzuku ya kilimo chako hico
 
Mimi nimemaliza degree ya Sheria Chuo Kikuu Mzumbe lakini nimejiajiri kwenye Kilimo, wewe mtoto uliyesoma Diploma ya Sociology Ustawi wa Jamii unaleta Uyoyoo! Shauri lako!
 
Basi ukienda pale Tasuba wenzio wamesoma Diploma ya sanaa na kuigiza
Heshimu fani yako na za wenzako
 
Back
Top Bottom