1) Maadili mabovu, ushahidi: Katibu Mkuu kuzaa nje ya ndoa (na mchumba)
2) Uvunjifu wa amani, ushahidi: Wamepewa mtaa wamemla mtu sikio kwa kuwanyima chumba cha kufanyia uzinifu wakipewa nchi? nani atabaki na masikio?
3) Hawana muelekeo, ushahidi: Vijana wao wanalumbana Mwenyekiti na Naibu wake.
4) Hawaheshimu fedha za walipa kodi, ushahidi: Kulipia walinzi wa kanisa mishahara na kulipia hausigeli wa "mchumba" per diem. Kukwepa kulipa kodi.
5) Uongo na uzushi, ushahidi: Kontena la karatasi za kura feki, mpaka leo halijaonekana.
6) Wanataka kuigawa nchi, ushahidi: Kauli za Nassari hivi karibuni.
Mbona bado unafikra ndogo hivyo? usitarajie cheo cha Ukuu wa Mkoa au Wilaya kitakuwepo ndani ya utawala wa CDM kwani hakuna kazi yeyote inayofanywa na wakuu wa Mikoa na Wilaya zaidi ya kulinda maslahi ya chama cha CCM.Watumishi wa umma watabaki wa umma hapa upinzani ukishika madaraka. Humo kuna watendaji wengi wazuri, wanaweza kuwa wakuu wa mikoa na wilaya. Hata wengine graduates watajoin na kuongoza chama.
mchango wako uko wapi?wachangiaji uzalendo huwa unaanza na wewe,kama unajua sifa changia kama hujui soma michango ya wenzako,note kila mmoja awemhalili wa mwenzake
Naombeni tuchangie bila ushabiki.
Chadema hawezi kushinda mwaka 2015, labda kama ataiba kura.
.
KUBALI KUCHAFUA JINA, JENGA AFYA.