hebu nisaidieni ili.

comson

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
288
41
wadau me nimenunua laptop dell inspiron haikuwa na window nikaiweka window7 ultimate........ nikitaka kuitoa haitoki..... na kuiactvate mpaka uwe na product key so kuna mtu ana pruduct key za win7ultimate..............
maana kila nikiiwasha inaniambia This copy of window is not genuine..........
Go online and resolve now.
 
Back
Top Bottom