akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,155
Inaonekana mtamu sana wewe ndio maana jamaa anashidwa kukuacha, utamu unatofautiana ujue...!!sijajiona mjanja. simuelewi anachotaka. kwani amefikia hatua ya kunifwatilia nyendo zangu hadi kuchunguza simu zangu nawasiliana na nani. nami nimemwambia siwezi kuwa nae mpaka atakapoufanya maamuzi
Sent from my iPhone using JamiiForums app