cherylsweet
Member
- May 28, 2014
- 15
- 6
Kwanza shikamooni/marahabaa
Mie ndo mara ya kwanza kupost mada humu jamvini, yamenikuta. Kuna kijana nampenda mnooo na yeye anajua hilo, hapo mwanzo tulikuwa wapenzi lakini kwa sababu zisizozuilika tukaachana tukaja onana tena miezi miwili imepita anasema ananipenda bado lakini ana mtu ambaye amempromise kumuoa .
Kwa mantiki hiyo basi anaugulia tuu hata usiku wa manane msg zatumwa na nini na nini lakini anasema hatuwezi kuwa pamoja. Akinipigia simu ananambia nampa shida. Anataka kumuacha huyo msichana lakini hajamkosea kitu anaogopa kumuumiza, ila yeye anaumia kwa kuwa hatupo wote.
Sasa nauliza kwanini mapenzi yakoje, kuumiza mtu au kujiumiza mwenyewe. Kwanini apate shida while he is the decision maker?