Hebu niambieni kama nakosea ktk hili

Hebu niambieni kama nakosea ktk hili

Kuna watu ni wandani mchukulie hivo as long as haongei na watu vibaya..
 
Ila salamu ni nn kwa ufahamu wako????,mfano mdogo tu mtaani kwako unakokaa husalimiani na mtu hata m1 ukipata shida unasaidika vp hapo????
Salam ni ishara ya kuwa happy na mtu na kumwona ni part ya maiaha yko so kama mtu haitaji uwepo wako anakuchunia just like that. Mtaani kama sisalimiani na mtu ni kwambi siwahtaji so nikpata matatizo ntajijua mwenyewe na kama yatanishnda ndio ntajua majirani ni muhimu na si vzr kumchunia mtu hata kama huendi kwake salam si mbaya kutoa maana hakuna ajuaye kesho yke ila kama huyo staff mwenzenu mwacheni. Mimi sipendi mazoeya na watu ila nasalimia na kucheka nao sana but makwao siendi bila ishu ya maana na nashrk matukio ya kijamii kama misiba na magonjwa, sherehe si lazma ila mtu akiniita simsusii lbd kama nimebanwa siwezi namfata tu namwambia nashukuru kwa mwaliko ila nina matatizo mwenzio sintaweza ila siku nyingne tutashrki pa1 na kama ntaweza asb nmfikia nagusagusa tushgl kisha napita hivii nk. Namna za kuishi na jamii ziko nyingi
 
tuna group la professional kuna mwenzetu mmoja waka mu add baada ya siku mbili aka left ,baada ya siku sita akafiwa na mkewe ,tukamchangaia tu bila kuujali kuwa yeye hataki kuchangamana na watu
 
unamkumbuka rais mkapa?huyu anauwezo wa kukaa kimya kwenye ndege hata masaa 6 ni mungu alivyo tuumba
 
Za jioni ndugu zangu ningependa kufahamu kama nakosea ktk hili,kwa mfano nyinyi ni vijana na mnafanya kazi sehemu moja lakini anajitokeza mfanyakazi mwenzenu anakuwa na vijitabia vya ajabu,hasalimii wenzake wala kuzungumza yaani ni mtu flani ananata,ila anao wasalimia hawazidi hata 20 halafu mtu huyo huyo anapata tatizo anapitisha form ya mchango,na anayefanya hivyo ni mtoto wa kiume,hebu niambie ktk hili ushawahi kutana na mtu kama huyo???????.
Hiyo ni janja ya nyani ili usimchangie. Tumekujua.
 
Hiv kusalimia au kuongea na watu no matter unafanya nao kazi ama kuish nao ni lazima? Wengine by nature tupo hivyo, so nikitaka kukuomba kitu, unipe, uninyime its fyn with me. Usikariri wewe
 
tenda wema nenda zako haina haja ya visasi as long as wote wanaume
 
Mchangie mkuu ili aone aibu na ajirekebishe tabia yake.! Sisi ofisini kwetu kuna mtu alikuwa hivyo hivyo, akaja kufiwa na Mama yake mzazi. Ofisi nzima tulijitoa kwa moyo wote, baada ya msiba alituomba radhi kwa tabia zake za nyuma na akajirekebisha
 
Akikusalimia unaongezeka kilo?

Kusaidia kunapaswa kutoke moyoni
 
Akikusalimia unaongezeka kilo?

Kusaidia kunapaswa kutoke moyoni
Mtume alisalimie ""asylam aleikum"", Yesu alisalimi ""amani ya bwana iwe nanyi"" wewe nani usisalimieee, kwa uspecial upi!? mtu asiyesalimia, amepungukiwa utashi na hekima kwa namna iwayo yote, period(.)
 
Jamani kama ni kitu cha lazima kwenye maisha ya kitanzania ni salam.Mimi nimeshazoea huwa nasalimia kama wajibu.Hata kama umeninunia lazima nikusalimie.Zamani nlikuwa sijui kama salam ni kitu cha lazima hadi siku nilipoitwa na mama mtu mzima ofisi niliyofanya field nikiwa Arusha.Yule mama alikuwa anapenda sana kunituma.Akaniambia mwanangu una tabia njema sana ila jitahidi uwe unasalimia wenzio hapa ofisini ni kitu cha lazima na ukisalimia hupungukiwi.So huyo jamaa atakuwa hajui msaidie tuu.Yaani mi nlianza kumsalimia hadi mlinzi wa getini nkiingia kwa ofic.Watu walianza kunishangaa ila sikujali.Hadi now nshazoea kusalimia.Cha ajabu mi hata nsiposalimiwa huwa sikereki.
 
Umetoa mfano mzuri sana.
 
Back
Top Bottom