Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,306
- 271,601
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu, Yeremia 17: 5-7)
Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho Gambo akaamua kumdhalilisha Mbunge wa Arusha Mjini, Nabii wa Mungu Godbless Lema atakavyo, Wakatunga kesi nyingi dhidi ya Lema na kumweka jela kwa miezi mingi ili Wamfurahishe Shetani waliyekuwa wanamtumikia.
Tukamsihi na kumuonya Gambo kwamba, Hakuna Mahali Popote Duniani ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu Lakini akatupuuza.
Hatimaye Jiwe akafa ili kutimiza Unabii wa Mtume Lema, Ghafla Mrisho Gambo na Mamluki wenzake akiwemo Sabaya wakawa Dagaa mchele nje ya Maji.
Kilio cha Mrisho Gambo leo ni kielelezo halisi kwamba Kila ubaya unaoutenda kwa lengo la kumfurahisha shetani anayekutuma utalipwa tu, tena kwa haraka sana.
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine wote mlio hapa JF au kwingineko kwamba Mtumieni Mrisho Gambo kama Somo ili msije kukumbwa na balaa la Mungu, Japo sidhani kama mtaachwa.
Soma >>> GE2025 - Mrisho Mgambo atupwa kwenye jimbo la Arusha Mjini, Makonda apita kwenye mchujo