Hebu mshauri huyu mama

Hebu mshauri huyu mama

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,988
HABARI NDUGU WALIMU, WAZAZI/WALEZI. NAOMBA NIWASHIRIKISHE KUMSAIDIA MAMA HUYU KUFANYA MAAMUZI SAHIHI JUU YA MAJANGA YANAYO MUANDAMA. SHUKRANI.

Mimi ni mwanamke wa miaka 54, mjane na mama wa watoto watatu - mvulana wa miaka 17 na wasichana wawili mmoja miaka 15 na mwingine miaka 13. Mimi ni mtumishi wa serikali wa kimataifa na ni mkristo mzuri.

Siwaandikii kwa ajili ya kutafuta mchumba bali kuwatumia/ kuwashirikisha kilio changu cha moyoni wazazi wote na pia kuwaomba ushauri.

Kiuhalisia, ninaishi na watoto wangu watatu, katika nyumba yangu, mara nyingi nakuwa ofisini siku nzima (mchana wote) isipokuwa siku za wikiend ambapo ninakuwa nyumbani.

Na tangu mamlaka zimezuia madarasa (watoto wasiende shule), nimewazuia watoto wangu wasitoke nje, wamefichwa tangu mwanzo, kuna msichana tu wa usafi ambaye anakuja kufanya kazi na kuondoka.

Na kwa watoto, ninawaangalia kwa ukaribu sana lakini leo nimezidiwa/nimeelemewa na hichi kinachotokea.

Kila mwezi huwa naangalia kama binti zangu wapo salama, sababu binti mkubwa mara nyingi huwa na maumivu ya tumbo anapokuwa mwezini, hivyo namsaidiaga kila muda.

Lakini cha kushangaza mwezi wa nne hakuonesha chochote, na nikagundua dalili za mwanzoni za ujauzito, hivyo jana asubuhi nikamwambia anipe mkojo wake kidogo, halafu niufanyia kipimo cha ujauzito na majibu yakawa chanya.

Nikanyamaza, jioni nikaenda chumbani kwake kujadili nae kwa upole ili kujua nani anahusika na huu ujauzito.

Kilichonishangaza sana, machozi yakiwa yanatiririka machoni mwake aliniambia kwamba ujauzito ni wa kaka yake. Na kwamba tangu kusitishwa kwa masomo hichi ndicho wanachokifanya nyumbani wakati ambapo sipo nyumbani na pia hata na mdogo wao. Na pale ndipo nilipokumbuka kuwa na yeye (binti mdogo) hajaingia mwezini kwa muda mrefu sababu yeye alivunja ungo akiwa na miaka 11. Kwahiyo nikimfanyia vipimo na yeye pia, kwa bahati mbaya majibu yalikuwa chanya pia.

Kwa mara nyingine, nikiwa mpole niwezavyo, nilimuita kijana wangu kukuuliza nini kilitokea.

Alikiri mahusiano na dada zake, na hayupo nyumbani tangu usiku uliopita na sikusikia chochote tokab kwake.

Nahitaji sana ushauri wenu, nimechanganyikiwa, ninaona ndoto zangu zikizimika baada ya miaka mingi ya kuhangaika. Mume wangu amefariki tangu mwaka 2009 na Mimi ndiye nahusika na kila kitu.

Sijui chakufanya, ninataka kuwaona watoto wangu wakikua pamoja na kuwa watu wanaowajibika lakini kwa hiki kinachotokea sina nguvu iliyobaki ndani yangu.

Nikifikiri juu ya kuwatoa mimba lakini mimi ni mwamini na imani yangu hainiruhusu kufanya hivyo.

Nimechanganyikiwa, nifanye nini?
 
Dogo kaanza umalaya mdogo ivyo duuh ni zaidi Ya baharia.....
ila kuna watu wana matatizo ya kushangaza mno humu duniani...
Dunia Ina mengi sana hii ukiona kuna utulivu na amani kwenye familia yako mshukuru MUNGU sana, wapo wanaozaa na watoto wao wa kike,wapo wanaofanya mapenzi na mama zao kwa lengo la kupata utajiri we are living in a lotten World

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu hapo kwa vile ni watoto basi ni vizuri ukaenda kwenye vyombo vya sheria ili uweze kupata msaada wa kisheria dhidi ya maamuzi gani unapaswa kuyachukua.

Maana bila ya hivyo wakikua watu wazima watakulaumu wewe kama mama yao na mwangalizi wa pekee kwa kushindwa kuwaangalia na kuwalea kwenye malezi mazuri licha ya kuwa umewalea ukiwa mpweke.

Zaidi ya yote watoleshe hizo mimba maana hata shetani atashangaa watoto kuzaa na kaka yao wa damu laiti kama ingekuwa mwenye mimba ni mmoja kidogo ingepunguza machungu lakini wawili
Achana na ushauri wote wa juu chukua huu "Watoleshe hizo mimba"

ᵃʳᵉᵉᵐ
 
Kiukweli kwa hili afumbe tu macho hizo mimba azitoe Hamna namna mnaosema alee tu hayajawakuta. Watoto 2 mimba Za mkupuo Hapana hata Mungu analiona hili

Huyo baharia pia Dah inatakiwa apewe mtu wa saikolojia aeleweshwe juu ya huo mchezo

Pia nahisi malezi ya huyo mama kwa wanae Ndyo Yale yakina "JUNIA" ABADILI MFUMO WA MALEZI
 
kama akiacha mimba zikue na kupata watoto inakuwa ni bonge moja la mistake... majuto, laana, kukosa amani ya moyo (peace of mind) na sijui ndugu wengine wakaribu watakuwa wanaambiwa uongo gani juu ya hao watoto

madogo wamefungiwa sana ndani halafu wote walikuwa kwenye balehe (nyege asilimia zote) uwezi kuwa blame sana,

chakufanya; tatizo bado changa na lipo ndani ya uwezo wa mama kukata mzizi wa mafarakano uko mbele, mimba zitolewe zote kwani ata wakifanikiwa kuzaa hao watoto hawataleta furaha yoyote zaidi ya majuto,

mimba zitolewe madogo wawe separated ata kwa miaka kadhaa na elimu ya saikoloji kali sana

imani ikae pembeni kabla alijatengenezwa bomu la hiroshima
 
Sheria?
Sheria ni kulea tu
Ushauri wangu hapo kwa vile ni watoto basi ni vizuri ukaenda kwenye vyombo vya sheria ili uweze kupata msaada wa kisheria dhidi ya maamuzi gani unapaswa kuyachukua, maana bila ya hivyo wakikua watu wazima watakulaumu wewe kama mama yao na mwangalizi wa pekee kwa kushindwa kuwaangalia na kuwalea kwenye malezi mazuri licha ya kuwa umewalea ukiwa mpweke...

TAFUTA MTU YOYOTE UMLAUMU...!
 
Kilichonishangaza sana, machozi yakiwa yanatiririka machoni mwake aliniambia kwamba ujauzito ni wa kaka yake.
POLE, POLE, POLE SANA MKUU.INAUMA SANA TENA SANA KAMA MZAZI AMA KWELI DUNIANI KUNA WATU WANAPITIA MITIHANI MIKUBWA MNO, JIPE MOYO NAAMINI UTAYASHINDA NA YATAPITA PIA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom