Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,138
Nimeshawahi kuona!!Nilichukiwa vibaya mno...tena ndo kwanza ilikuwa mwanzoni mwa uhusiano....But Love is Blind!!!!
Hapo chacha,unasamehe na kusahau maisha yanasonga!
Nimeshawahi kuona!!Nilichukiwa vibaya mno...tena ndo kwanza ilikuwa mwanzoni mwa uhusiano....But Love is Blind!!!!
Halafu nikakuta pia amejibu dahhh uchungu wake hauelezeki!yaani kuna vitu unaona ni vidogo kwa mpenzi ila mwenzangu ukiona alert tu shtuka1 i was there too! mtu anafanya hivi unaona hapana he is mine this means nothing! weeee mmmh !
Yameshapita naganga yanayokuja!!Pole sana!!!
Umewahi kukuta SMS ya mapenzi kwenye simu ya mpenzi wako akimtumia mtu mwingine tofauti na wewe? Ulijisikiaje uliposikia mtu mwingine akiitwa majina mazuri ya kimapenzi na mpenzi wako, pengine kuliko hata yale ambayo huyatumia kwako? Ulichukua uamuzi gani? Nakukaribisheni kwa moyo mkunjufu kabisa, karibuni
Mimi sijawahi na sitaki pressure. Marufuku mke wangu kupokea au kuperuz simu yangu. If she does so, it will be at her own risk!