Hebu kila mtu ajiulize

Hebu kila mtu ajiulize

Umewahi kukuta SMS ya mapenzi kwenye simu ya mpenzi wako akimtumia mtu mwingine tofauti na wewe? Ulijisikiaje uliposikia mtu mwingine akiitwa majina mazuri ya kimapenzi na mpenzi wako, pengine kuliko hata yale ambayo huyatumia kwako? Ulichukua uamuzi gani? Nakukaribisheni kwa moyo mkunjufu kabisa, karibuni
Pole naona yamekukuta, jipe moyo na samehe tu
 
Mi sinaga mpango wa kuchek msg za mpenzi wangu,,, afu hayo majina me huwa hayanishtui.......
Na hata nikiona kwa bahati mbaya simuulizi na play part yangu kuhakikisha me ndo no 1.
Thanks Tina, dunia hii inamiss watu kama wewe, katika mapenzi jua ni upepo unapita ila timiza wajibu wako. Umekomaa mama
 
Hiyo ndo solution, mambo ya kuangalia msg za mtu, ah! Hata aiache hapo siku nzima, siigusi.. ya nini kuleta maradhi ya moyo!

Mi sinaga mpango wa kuchek msg za mpenzi wangu,,, afu hayo majina me huwa hayanishtui.......
Na hata nikiona kwa bahati mbaya simuulizi na play part yangu kuhakikisha me ndo no 1.

Nimeshawahi kuona!!Nilichukiwa vibaya mno...tena ndo kwanza ilikuwa mwanzoni mwa uhusiano....But Love is Blind!!!!

labda wanataniana tu na huyo mtu mwingine...hahahahaahahaha

Haijawahi nitokezea....hasbiallah..

Shukuru Mungu ila Usiombe ni hatariii
Simu-na-Meseji-za-Mapenzi-638x400.jpg

Mi sinaga mpango wa kuchek msg za mpenzi wangu,,, afu hayo majina me huwa hayanishtui.......
Na hata nikiona kwa bahati mbaya simuulizi na play part yangu kuhakikisha me ndo no 1.

U r the best,,,,presha ya nini wakati una uhakika....safi sana....
 
Sjawahi kukagua wala kufkiria kukagua simu yake, coz there are things should remain untoched, naogopa hata kufanya hivyo ntakuja kuumia bure, just let it burn
 
Zamani niliweka hata password kwenye simu yangu coz nilikuwa na vidumu vitatu! Niliweka ili mke wangu sijue! Leo password sina, mi ni nimekuwa muwazi sana! Hivyo ni kweli, sms kama hizo zinaudhi japo sijawahi kuziona kwa mke wangu. Ninachojiuliza ni kwamba, mbona wake za watu ndo ving'ang'anizi sana kutoka nje ya ndoa zao, why?
 
Ujue haya mambo wala usipende kuumiza kichwa. Mi zamani nilikuwa na kiherehere sana cha kuangalia simu ya mpen, ila nikaona kwa nini mapigo yangu ya moyo yaniende kasi kisa kila siku kwa sababu ya binaadam mwenzangu? Nikaamua kuacha kushika simu yake na yangu nikaitia password na kwa sasa yeye ndo anaumia na kuniomba simu yangu anashindwa.
 
hapa ni ukweli,mie sishiki sim yake.ya nini kujitia preshaaaaaa
 
Nashukuru kwa kuliona hilo.....
Comments za watu humu zinaonyesha kama mtu ni mkomavu katika mapenzi utamwona kila mara anajaribu kushauri mshikamano. Wanafunzi wa mapenzi nao utawajua kwa kukatisha tamaa wenzao. Magumegume utawajua kwa roho ya naye akose ili tufanane n.k. Nakwambia dunia hii hakuna wakamilifu ni to play your part first wakati ukijitahidi na mwezi wako ajifunze kutoka kwako. Life goes on lakini ukifuata mawazo ya mashosti ambao wameachika au wanajidai kuwa hawataki kuolewa kumbe ni kukosa wanaume utaumia. Merci
 
beaucoup
 
Nimeshawahi kuona!!Nilichukiwa vibaya mno...tena ndo kwanza ilikuwa mwanzoni mwa uhusiano....But Love is Blind!!!!
yaani kuna vitu unaona ni vidogo kwa mpenzi ila mwenzangu ukiona alert tu shtuka1 i was there too! mtu anafanya hivi unaona hapana he is mine this means nothing! weeee mmmh !
 
Back
Top Bottom