HeBu jIuLiZe yAFuAtaYo....

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,105
Jiulize,kifo cha Yesu na cha
Kanumba kpi kimeugusa
zaid moyo wako,alafu
jipime we ni mkristo au
mkanumba? Na kati ya Lulu
na Yuda nani ana dhambi kubwa Jib ili nijue ukifa
roho yako itakwenda
bongo movie au mbinguni.?.
Siku njema.
 
usifikiri kila mtu aliguswa na kifo cha mtenda dhambi huyu mi niliuzunika kwa sababu amekwenda motoni. Na wewe kama ni mtenda dhambi utaenda motoni kama yeye hivyo nakushauri kutubu na kumrudia Mungu vinginevy UTAKWENDA MOTONI pia Mungu anakupenda nami nakupemda ndiyo maana nakushauri leo
 
me like ur comment!
 
Kifo cha yesu ndio kilituuma wewe vipi!!! Kwanza huyo kanumba alikua anafanya nn na lulu? Dont ever compare jesus to kanumba shame on you
 
Jiulize,kifo cha Yesu na cha
Kanumba kpi kimeugusa
zaid moyo wako,alafu
jipime we ni mkristo au
mkanumba? Na kati ya Lulu
na Yuda nani ana dhambi kubwa Jib ili nijue ukifa
roho yako itakwenda
bongo movie au mbinguni.?.
Siku njema.

tubu kwa ku relate Yesu na huyu shetan Mzinz mkubwa
 
hivi kifo cha Yesu kilituuma kweli...mmh sidhani maana hata sasa Bwana yu Hai,maana alikishinda kifo na mauti
 
Umeuliza swali zuri sana lakini usitegemee mtu yeyote hapa kusema aliguswa na kifo cha kanumba kuliko cha yesu sababu binadamu tuko complex.

Mimi binafsi niliguswa na kifo cha Kanumba kwa sababu kwanza ni binadamu kama wengine na pia ni msanii niliye kuwa na mpenda jinsi alivyo kuwa ana wasilisha kazi zake kwa jamii kupitia maigizo.

Kuhusisha kifo cha kanumba na kuwa mkristo au lah si sawa sababu mi binafsi yesu sikuwai kumuona nimekua nikiona watu wakiigiza kupitia mikanda juu ya kifo cha yesu na maisha yake lakini siwezi nikakudanganya kuwa niliguswa sana na kifo cha yesu ambaye sijapata kumuona kuliko Kanumba ambaye nilizoea kumuona!

Ndio maana vitabu vya dini vinatuimiza na vigine vinatuuliza
je tutasemaje tunampenda mungu tusiye muona wakati ndugu zetu tunao waona hatuwapendi?

Mwisho wa siku kuguswa na kifo cha mtu hakuto badilisha imani yako kwani kuguswa pia ni ishara ya upendo.
Kifupi mimi niliguswa na kifo cha Kanumba na bado nimebaki kwenye imani yangu!
 
usifikiri kila mtu aliguswa na kifo cha mtenda dhambi huyu mi niliuzunika kwa sababu amekwenda motoni. Na wewe kama ni mtenda dhambi utaenda motoni kama yeye hivyo nakushauri kutubu na kumrudia Mungu vinginevy UTAKWENDA MOTONI pia Mungu anakupenda nami nakupemda ndiyo maana nakushauri leo

mkuu ni kweli hatuwezi kumlinganish huyu mtu na Yesu kabisa!

Hivi kuna mtu asiye na dhambi?

Au kuna dhambi kubwa na ndogo?
 
Jiulize,kifo cha Yesu na cha
Kanumba kpi kimeugusa
zaid moyo wako,alafu
jipime we ni mkristo au
mkanumba? Na kati ya Lulu
na Yuda nani ana dhambi kubwa Jib ili nijue ukifa
roho yako itakwenda
bongo movie au mbinguni.?.
Siku njema.

#74*5!%%_/=_%~()~:'"#!%63-!%/==%"_-!% :coffee: :msela:
 
usifikiri kila mtu aliguswa na kifo cha mtenda dhambi huyu mi niliuzunika kwa sababu amekwenda motoni. Na wewe kama ni mtenda dhambi utaenda motoni kama yeye hivyo nakushauri kutubu na kumrudia Mungu vinginevy UTAKWENDA MOTONI pia Mungu anakupenda nami nakupemda ndiyo maana nakushauri leo

Nawe kama ni mtenda dhambi, ila umekuja hapa kama wewe upo safi. Utubu kwa hilo Mungu akusamehe dhambi zako maana warumi 3:28 imesema sisi sote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.
AHsante na Mungu akubariki sana.
 
Umeuliza swali zuri sana lakini usitegemee mtu yeyote hapa kusema aliguswa na kifo cha kanumba kuliko cha yesu sababu binadamu tuko complex.

Mimi binafsi niliguswa na kifo cha Kanumba kwa sababu kwanza ni binadamu kama wengine na pia ni msanii niliye kuwa na mpenda jinsi alivyo kuwa ana wasilisha kazi zake kwa jamii kupitia maigizo.

Kuhusisha kifo cha kanumba na kuwa mkristo au lah si sawa sababu mi binafsi yesu sikuwai kumuona nimekua nikiona watu wakiigiza kupitia mikanda juu ya kifo cha yesu na maisha yake lakini siwezi nikakudanganya kuwa niliguswa sana na kifo cha yesu ambaye sijapata kumuona kuliko Kanumba ambaye nilizoea kumuona!

Ndio maana vitabu vya dini vinatuimiza na vigine vinatuuliza
je tutasemaje tunampenda mungu tusiye muona wakati ndugu zetu tunao waona hatuwapendi?

Mwisho wa siku kuguswa na kifo cha mtu hakuto badilisha imani yako kwani kuguswa pia ni ishara ya upendo.
Kifupi mimi niliguswa na kifo cha Kanumba na bado nimebaki kwenye imani yangu!

Ahsante kwa majibu yako za hekima
 
usifikiri kila mtu aliguswa na kifo cha mtenda dhambi huyu mi niliuzunika kwa sababu amekwenda motoni. Na wewe kama ni mtenda dhambi utaenda motoni kama yeye hivyo nakushauri kutubu na kumrudia Mungu vinginevy UTAKWENDA MOTONI pia Mungu anakupenda nami nakupemda ndiyo maana nakushauri leo

Usihukumu usije ukahukumiwa, and hakuna aliyemwema wote wametenda dhambi na kipungukiwa na utukufu. Mwenyezi mamlaka ya kuhukumu ni Mungu tu
 
majibu yako tu!
ni kweli mkuu, walioumia na kifo cha Yesu ni wale wasioamini kuwa Yesu alifufuka...maana waliojua hivyo hata hawakuomboleza mfano ni Mtume Petro....maana aliwaambia ya kwamba Mwana wa Adam hana budi kufa lakini siku ya tatu atafufuka...
Kutokuwa na budi maana yake ni lazima iwe hivyo, lakini habari njema ni kuwa atakishinda hicho kifo
 
haleluya!
 
owkkkkkkkkkk..........................................................
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom