Sweetheart i miss youuuuuKwan uwezi kuandika kua umepanga room Adi uandike self contained????
Hahahaaa nimecheka sana, afu mkiwa na chumba kimoja mnakarobishaje wageni chumbani? Nunua viti vya plastiki waishie nje. Chumba kiheshimiwe bwana.
Sweetheart i miss youuuuu
Miss you too mumithi sikuiz naogopa jf siunajua tena sheria za mtandao
Unaoa ukiwa na chumba kimoja! alafu hutaki wageni!!! Duuuh maisha ya siku hizi bwana!
Kwa hali ya maisha yetu wabongo ilivyo haya mambo ya chumba kimoja kawaida tuu, ila ndo hivo lazima kuwe na utaratibu, wageni waishie nje, angewatandikia jamvi nje wagare gare hadi asubuhi...chumba cha mke na mume kina mengi, hatakiwi kuingia kila MTU..
Yani rafiki wa toka primary umzoe umuingize chumbani? Hell noo....
Yaani shemeji ndio umeamua kuja kutusema vibaya huku Jamiiforums jamani?kama chapati na maini yako tuliyokula kwako sisi tutakurudishia tuu.
Sasa hiyo si ndio sebule yao jamani.
Aaah, asingelalamika, ustaarabu aunze yeye kwa kuchuja watu wa kuingia chumbani kwake......
Hapo ni chumbani paheshimiwe na watu wote mpaka pale atakapokuwa na uwezo wa kumiliki chumba na sebule, ye amewakaribisha mwenyewe chumbani kwake alafu analalamika!!!
Hapo ni chumbani paheshimiwe na watu wote mpaka pale atakapokuwa na uwezo wa kumiliki chumba na sebule, ye amewakaribisha mwenyewe chumbani kwake alafu analalamika!!!