donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Mchango wako unawalakiniwastara na nani huyo?
ainishaMchango wako unawalakini
Jamaa kapenda kalio tu huyo.
Sure mkuuMahaba ya dhati
Hiyo picha ni ya katuni (yakuchora) ambaye ni mlemavu mguu mmoja, kwanini umuite Wastara?ainisha
Kwel mkuu, it wasn't such a decent commentHiyo picha ni ya katuni (yakuchora) ambaye ni mlemavu mguu mmoja, kwanini umuite Wastara?
kwa sababu Wastara ana ulemavu wa mguu mmoja na huolewa mara kwa mara na katuni ni sanaaHiyo picha ni ya katuni (yakuchora) ambaye ni mlemavu mguu mmoja, kwanini umuite Wastara?
Daah ... haya bana, but sijapenda kila utakapoona ulemavu wa mguu basi ni Wastara, sio sahihi kabisa... hakupenda kuwa mlemavu wa mguu ili awe kielelezo cha waliokatika miguu ... hata katuni!kwa sababu Wastara ana ulemavu wa mguu mmoja na huolewa mara kwa mara na katuni ni sanaa