Hebu ipe maneno picha yangu ya leo

maneno;
Mamba: una bahati nimekukosa,
Ndege: nyoo, ulifikiri mimi ni nyumbu
 
"Haliwi mtu hapa, labda uje na wenzio kama 8 hivi" Hiloooo, limezoea vya kunyonga!
 
Hii picha imepoteza sifa za uhalisia bila shaka imechakachuliwa!na itapelekea kuto amini picha nyingi zenye matukio ya kustaajabisha kama haya kwa kudhani yametengenezwa ili kupata sifa!
 
Lakini maji haya fanani na jitihada za mambo, maji yaongezee vurugu kidogo ya ili yamechi na tukio hili zito
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…