Hebu ipe maneno picha yangu ya leo

Hebu ipe maneno picha yangu ya leo

maneno;
Mamba: una bahati nimekukosa,
Ndege: nyoo, ulifikiri mimi ni nyumbu
 
554215_371049056311970_1187916418_n.jpg
Hebu kuja hapa wewe kakitoweo
 
"Haliwi mtu hapa, labda uje na wenzio kama 8 hivi" Hiloooo, limezoea vya kunyonga!
 
Hii picha imepoteza sifa za uhalisia bila shaka imechakachuliwa!na itapelekea kuto amini picha nyingi zenye matukio ya kustaajabisha kama haya kwa kudhani yametengenezwa ili kupata sifa! mamba.jpg
 
Lakini maji haya fanani na jitihada za mambo, maji yaongezee vurugu kidogo ya ili yamechi na tukio hili zito
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom