Hebu cheki na hii ya Dereva!

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Dreva Mwakitosi ambae anaendesha Fuso kampuni moja ya kuuza maji ya kunywa, hii cku anatokea Dar kwenda Mwz, kufuatia hali ya joto njiani akawa amevua shati anaendesha kifua wazi, mara ghfl wanakutana na Boss wake ikawa hivi :-
Boss : inakuaje unaendesha gari kifua wazi? Huoni italeta picha ya madereva wng ni wahuni?
Dreva : mzee yote shauri ya joto mzee.
Boss : Sasa itabidi uendelee kubaki kwny hiyo Fuso nilikua nahitaji nikuhamishie kwny ile Scania semi sasa naona kule ndy utavua na suruali utaendesha umebaki na chupi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom