Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,670
mkuu lexAid angekuwa mdogo wako ungekuwa ndo mchezo wenu.Ameacha kutumia Calculator na Internet kwenye hizo simu hapo mezani eti irizi itamsaidia. Kama sio upunguani ni nini? Lingekua dogo langu ningelitandika kwa sababu ya uchanguzi mbovu wa pembejeo!
Ameacha kutumia Calculator na Internet kwenye hizo simu hapo mezani eti irizi itamsaidia. Kama sio upunguani ni nini? Lingekua dogo langu ningelitandika kwa sababu ya uchanguzi mbovu wa pembejeo!
mkuu lexAid angekuwa mdogo wako ungekuwa ndo mchezo wenu.