SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,094
- 75,538
kabisa mkuuUnapewa ukiwa mahabusu tu
umemaliza kila kituPic ya kwanza inaonyesha watu wamejaa hofu, hawana amani, woga, kutojiamini.
Pic ya pili wanajiamini, wacha Mungu, wenye maono, wasomi, waelewa, wastaarabu, wenye subra na wanamapinduzi wa dhati.
Yeah ila miguu yake miwili tu inasoma 1.2 million hadi jinga moja likashauri tuwekeze kwenye nyumbu ili kupata hela za laiti trakiNyumbu ni nyumbu tu mkuu.
Of course you won't see any.No connection