Hebu angalia hii picha vizuri.....

Mbona kakaa vizuri tu ?????
Ni macho yako tu ndio yanakufanya ufikirie tofauti
Wewe Umeona nini cha tofauti hapo ???
 
Huko kumechisha rangi ya kiti cha gari na rangi ya mwili ndiyo imeleta shida hiyo!
 
hahaa mie mwenyewe wakati nashuka nikawa najiuliza

mmh huyu bidada anataka kutuonyesha nini wallah
 
Amekaa kawaida tu au labda huo mkono wa kulia umepeleka mawazo yako yawe tofauti
 
hata angekaa hivo unavyofikiri mbona poa tu
 
Unaweza mfikiria huyu dada vibaya bure!


aisee,,imebidi nikanawe uso kwanza,ndo nikaielewa hiyo picha.otherwise nilikuwa nishasema astaghafilullah,hii inataka kuharibu jumaa kareem
 
Ukaaji wake bado unatia mashaka tu, huo mkono wake wa kulia kapachika wapi!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…