Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,063
nyie wana chit chat mnalalaje sa mbili kwani nyie kuku? wakeup guys njooni ihapa makumbusho tukamate ngwasuma,dadadake bishanga niko ncwhwiii kwa mbaaaaaali namwona Invisible yuko na Madam B wanasakata rumba,madam bii kapiga bonge la jeans mfuko wa nyuma kaweka chupa ya konyagi,invisibo bana sijui imekuwaje yuko peku viatu sijui kaviacha wapi,dadadadadeki.....,,,nitazidi kuwajuza...stay tuned.
Last edited by a moderator: