hebu acheni kulala....

ngoja nkupe mbinu... ila iwe siri yako!"!"

chukua cm yako fungua ringtone afu jidai unapokea... ongea kama ifuatavyo.... "mshkaji eeeh hivi ulisema safari hii tunamchuna ngozi mtu wa aina gani... mweupe, mweusi,mrefu au mfupi" afu unasubiri km 5sec ili kwamba mtu unaeongea nae akujibu.. akishakujibu... nawe una mjibu kwa kumpa sifa za yule mwendesha bajaji (fanya hivo ukiwa unakaribia home) tena unamwambia afu mtu mwenyewe ana bajaji tena bado mpya mpya.... NAKWAMBIA HAPO HAPO MWENYE BAJAJI ATAKUSHUSHA FASTAJEEEEER

Don't try it.........
Nina bahati,nashuka tu ndo mama v naye anatoka kwenda church, kamlipa hela yake wa bajaj kaenda zake church, kanambia nikapate supu makirikiri afu nimuandalie maelezo ayakute tayari akitoka church
 
wa chitchat mna roho mbaya,hata mwenzenu kuulizia kama nilisalimika jana hamtaki? We Madam B njoo uchukue begi lako jana ulilisahau kwenye gari langu,halafu nimelicheki limejaa mindom kibao,kha!
 
Last edited by a moderator:
wa chitchat mna roho mbaya,hata mwenzenu kuulizia kama nilisalimika jana hamtaki? We Madam B njoo uchukue begi lako jana ulilisahau kwenye gari langu,halafu nimelicheki limejaa mindom kibao,kha!

Khaaaaa..!!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga hapo juu uliposema "mindomu" ulimaanisha 'ndomu' kondomu au 'ndomu' bange? Na huyo Madam B uliyemtaja ulimaanisha yeye au Madame B? Please NOTE the difference between 2 IDs.
 
Last edited by a moderator:
We charminglady raha tupate wote afu nilipe na hela juu!?? tena yeye ndo alifaidi zaidi, hapo ngumu kumesa, labda anipe na risiti kabisa ili kesho nika crame hiyo pesa ofisini,lakini kutoka mfukoni mwangu no way!!

kabisa usisahau rist ili na sisi TRA tupate value added tax
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom