hebu acheni kulala....

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
nyie wana chit chat mnalalaje sa mbili kwani nyie kuku? wakeup guys njooni ihapa makumbusho tukamate ngwasuma,dadadake bishanga niko ncwhwiii kwa mbaaaaaali namwona Invisible yuko na Madam B wanasakata rumba,madam bii kapiga bonge la jeans mfuko wa nyuma kaweka chupa ya konyagi,invisibo bana sijui imekuwaje yuko peku viatu sijui kaviacha wapi,dadadadadeki.....,,,nitazidi kuwajuza...stay tuned.
 
Last edited by a moderator:
Mbona na wewe napigiwa simu hapa mdau yuko hapohapo, ananiambia uko tumbo wazi, baada ya kuli'vomitia sana! Halivaliki.
 
Bishanga kumbe we ndo huyo aliyevaa kaunda suti anaserebuka
 
yani hapa ndipo mahali watu wa CC wanaponichosha.....wanalala nini.....aaagh....
 
Sio kulala mamito. Tumewekeana mkakati na mgombea mwenza giza likiingia no phones, ukisikia vidole vinawasha unamshika mwenzio. Hebu jaribu uone, simu na mitandao inaua mahusiano.
yani hapa ndipo mahali watu wa CC wanaponichosha.....wanalala nini.....aaagh....
 
Mie ndo nachukua bajaj hapa ambiance inipeleke home

Baba V we mbaya mbona hujamlipa yule dada hela yake wakt mmekesha nae pale kichochoroni... sio vizur bana yan mpk anakulilia hivo.. sema mwenye bajaji kamwonea huruma kamtoa buku ya nauli.. afu kaapa lazma akuoneshee next time ukirudi labda uhame kiwanja!!!!!!
 
We charminglady raha tupate wote afu nilipe na hela juu!?? tena yeye ndo alifaidi zaidi, hapo ngumu kumesa, labda anipe na risiti kabisa ili kesho nika crame hiyo pesa ofisini,lakini kutoka mfukoni mwangu no way!!
 
kasema ikirud anga zake jiandae kufededwa.....
 
Zilikuwa ni hasira tu zile, nikiibuka next week mwenyewe atanikimbilia, hapa nawaza mziki nitakaoucheza na huyu wa bajaj tukifika home kwangu kwa mnyamani, humu mfukoni nimebakiza mia na hamsini tu, naombea nikute mama V hajanuna aokoe jahazi otherwise nahisi kuchapika, afu mtu mwenyewe anaonekana bandidu balaa, niko kimyaa naombea hata kibajaji kiharibike hapa nipate sababu afu ntamalizia safari kwa mguu, ntajifanya niliamka kufanya mazoezi
 
ngoja nkupe mbinu... ila iwe siri yako!"!"

chukua cm yako fungua ringtone afu jidai unapokea... ongea kama ifuatavyo.... "mshkaji eeeh hivi ulisema safari hii tunamchuna ngozi mtu wa aina gani... mweupe, mweusi,mrefu au mfupi" afu unasubiri km 5sec ili kwamba mtu unaeongea nae akujibu.. akishakujibu... nawe una mjibu kwa kumpa sifa za yule mwendesha bajaji (fanya hivo ukiwa unakaribia home) tena unamwambia afu mtu mwenyewe ana bajaji tena bado mpya mpya.... NAKWAMBIA HAPO HAPO MWENYE BAJAJI ATAKUSHUSHA FASTAJEEEEER

Don't try it.........
 
nyie wana chit chat mnalalaje sa mbili kwani nyie kuku? wakeup guys njooni ihapa makumbusho tukamate ngwasuma,dadadake bishanga niko ncwhwiii kwa mbaaaaaali namwona Invisible yuko na Madam B wanasakata rumba,madam bii kapiga bonge la jeans mfuko wa nyuma kaweka chupa ya konyagi,invisibo bana sijui imekuwaje yuko peku viatu sijui kaviacha wapi,dadadadadeki.....,,,nitazidi kuwajuza...stay tuned.

Jamani nafwa mieee...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom