Hebu achana na huyo mume wa mtu

Hebu achana na huyo mume wa mtu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,036
Reaction score
168,674
. He won't commit to a future with you.
A man who is in a very unhappy or unsatisfying marriage can feel swept awayby how wonderful you make him feel. He may even blurt out, "I've neverfelt this way before and I can see spending the rest of my life with you."This may sound like a commitment to a future with you. It's not. Don't confusehis loving the way you make him feel with his loving you and making acommitment to you.

2. Cheating on his wife tells you how he deals with any situation he doesn'tlike.
You are evidence of his inability to avoid dealing with unpleasantsituations head on. This means that he's likely to resort to some deviousbehavior with you if the two of you encounter relationship problems.

3. Hiding is exhausting.
Having to keep your relationship a secret can attack your self-esteem andcause you to miss out on one of the wonderful aspects of a relationship.Walking together freely and radiantly through the world can fill you with theglow of being with someone who is proud to be with you.

4. He's got his cake and is eating it, too.
He has a legitimate married relationship that helps his public persona andhe has an illegitimate one with you to make up for what he's missing in hismarriage. As appreciative as he sounds, many women who are involved withmarried men come to resent his having the best of both worlds, when she has theleast.

5. Can you love someone who is so disrespectful of his wife?
The existence of your relationship with a married man tells you how littlehe respects his wife by lying to her instead of being a man and telling herthat he wants out.

6. Lose his respect and it's over.
Even though he's the one who pursued you. Even though he's the one that madeit difficult to say "No." And even though he tells you how wonderfulyou are. At some level, he's going to have trouble respecting you for settlingfor such a flawed relationship. Like the Groucho Marx joke, "He may notwant to be in a relationship that would have him as a partner."

7. You're not a home wrecker, just an accomplice.
Like it or not, you are a willing participant in a man violating his vowsand betraying the trust of his wife -- not to mention grossly disappointing hischildren and making it difficult for them to see him as a role model.

8. You're kidding yourself.
Despite his reassuring you how much you mean to him, his not ending hisrelationship with his wife in an above-board and respectful way -- and notbeginning a legitimate relationship with you -- are actions that speak louderthan words.

9. Beware the guilt boomerang.
Many men (and women) have difficulty accepting full responsibility for theirdeceitful actions. Human nature finds it easier to blame than to accept shame.If he is caught by his wife or conscience, don't be surprised if he tries toblame you and get you to take the fall.

10. Time is too precious to waste.
Ever notice how quickly the years go as you get older? Because it'sconvenient and comfortable, a relationship with a married man can go on for along time -- and before you know it, eat up the precious time you might havehad in a healthy relationship with a chance of flourishing. When people whohave been involved with married men finally move on, they often regret havingwasted the time in a dead-end affair.
 
Bujibuji nimechoka na hii MMU usiniite baba lol
nataka kuchukua tacit kidogo kule
business forum na
education kule
Nivea Wenzako tuko busy kwenye jukwaa la tiba na ugaguzi mwalimu wetu MziziMkavu leo anatufundisha kutengeneza limbwata la Kitanga. Limbwata na hiliki, mawaridi, mjasmini na kisosa
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji, nakubaliana na bandiko lako hili... Ila naona ni muhimu niongeze kwa kusema haya...

Suala la mwanamke kutoka na mume wa mtu ni kitu ambacho kina vary... Matakwa na malengo ya wahusika yametofautiana. Watu wengi huamini kuwa wanawake wote wanaotoka na waume za watu wote wana malengo ya kubadili nafasi ya mke wa huyo mtu wake; Bahati mbaya ama nzuri siyo wote wapo hivyo (ingawa nikiri kuwa niwachache).

Mwingine tokana na circumstances kama vile security-wise, feelings, age na mengine mengi anaweza kuwa na mume wa mtu kwa kutuliza tu kiu yake. Kiu hiyo inaweza kuwa mtu wa company once in a while, company ya kuongea, company ya sex, or just someone to rely on. Huyu mtu waweza kuta kabisa haoti wala hafikirii kuwa Mrs huyo mume wa mtu na wala hafikirii kuwa inaweza enda beyond hapo walipo.

Kwa maneno mengine, suala la kusema ana cheat, suala la kusema hatakuja kumuoa, suala la kusema kuwa anamdharau mkewe ni vitu ambavyo ajihusishi nalo kabisa na wala halimkeri... Zaidi tu anaweza jitahidi kusaidia kuweka mazingira mazuri ya huyo mwanaume kuwa na amani na mkewe kwa kuhakikisha aharibu kwa vitu vidogo dogo kama kuchelewa kurudi kwake, kubadilika tabia kwake na the like.

Disclaimer: I do not support, but ndiyo ukweli in some cases.
 
Last edited by a moderator:
Akiona tu headin' naye atakuja na "Mme wa mtu mtamu simuachi ng'o!!"

Ana kisilani huyooo!! Ila bht, king'asti, snowhite, gfsonwin naRutashoborwa niliona wamemkimbiza kwenye ile "Digirii haitunzi mume" sidhani kama atakuja kwenye huu uzi....!!

Alafu bora ungemrahishia japo kwa kiswanglish maana snowhite aliniambia ni Zombiz
 
AshaDii, hekima na busara zako ni za kipekee kabisa hapa jukwaani.
Mungu akuzidishie zaidi na zaidi, ikiwezekana ufikie japo robo tatu tu ya ile hekima aliyo mtunuku Suleiman
Bujibuji, nakubaliana na bandiko lako hili... Ila naona ni muhimu niongeze kwa kusema haya...

Suala la mwanamke kutoka na mume wa mtu ni kitu ambacho kina vary... Matakwa na malengo ya wahusika yametofautiana. Watu wengi huamini kuwa wanawake wote wanaotoka na waume za watu wote wana malengo ya kubadili nafasi ya mke wa huyo mtu wake; Bahati mbaya ama nzuri siyo wote wapo hivyo (ingawa nikiri kuwa niwachache).

Mwingine tokana na circumstances kama vile security-wise, feelings, age na mengine mengi anaweza kuwa na mume wa mtu kwa kutuliza tu kiu yake. Kiu hiyo inaweza kuwa mtu wa company once in a while, company ya kuongea, company ya sex, or just someone to rely on. Huyu mtu waweza kuta kabisa haoti wala hafikirii kuwa Mrs huyo mume wa mtu na wala hafikirii kuwa inaweza enda beyond hapo walipo.

Kwa maneno mengine, suala la kusema ana cheat, suala la kusema hatakuja kumuoa, suala la kusema kuwa anamdharau mkewe ni vitu ambavyo ajihusishi nalo kabisa na wala halimkeri... Zaidi tu anaweza jitahidi kusaidia kuweka mazingira mazuri ya huyo mwanaume kuwa na amani na mkewe kwa kuhakikisha aharibu kwa vitu vidogo dogo kama kuchelewa kurudi kwake, kubadilika tabia kwake na the like.

Disclaimer: I do not support, but ndiyo ukweli in some cases.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli mume wa mtu kazi kwelikweli, You are always no 2.

Ukiwanae sehemu za watu atajikausha kauaha,ili mradi tu asionekane mko wote

Mkiwa wawili kila saa anaangalia sayake ILI AWE HOME ON TIME MKEWE ASIPATE WASIWASI

Siku za sikukuuu zote na wkends mara nyingi ni upweke kwako.
Pia hawezi kwenda na wewe kwenye part za kifamilia au za ofisini kwake

Ndugu zako na marafiki wanaokupenda watamchukia tu, kwakweli

'If you're unfortunate enough to fall in love with a married man, turn and run the other way, just a sfast as your legs can carry you. To continue down the path ahead is to walk willingly onto a dark, murky composed of little more than depression, heartbreak and futility. The longer you hesitate, the deeper you'll sink, the more mud is likely to cling to you, and the harder it will be to finally escape and move on.
 
AshaDii, hekima na busara zako ni za kipekee kabisa hapa jukwaani.
Mungu akuzidishie zaidi na zaidi, ikiwezekana ufikie japo robo tatu tu ya ile hekima aliyo mtunuku Suleiman

Bujibuji.... Ni maneno mazito umeongea. Na namuomba Maanani anijaalie kunifikishia sala zako njema juu yangu na atubariki sote. I am so humbled of your acknowledgment. Pamoja Saana.
 
sitaki kucheka wala kununa
sitaki kufadhaika wala kuhuzunika
ujumbe nimebeba haraka kukupeni
mwenye ndoa hima ndoako simamia
maombi ndio silaha chamoto watakiona
upendo ung'ae malangoni na upenuni
 
Bujibuji nashukuru sana kwa bandiko zuri ila mimi naomba nionezee kidgo sana jambo hapa.

jamani najua kabisa sio mara zote ama wanaume wote wata kaa na kudumu na wake zao, la hasha, najua kwamba kuna kutoka nje ama kuna kucheat. Lakini sasa inapotokea basi wewe mwanamke ukawa unatoka na mume wa mtu basi jiheshimu. Heshimu nafasi uliyopewa wala usimdharau anayemmiliki. usilete jeuri na kuona kwamba wewe u babu kubwa zaid kuiko mke wake nyumban.

huwa nawashangaa sana wanawake wa aina hii manake laiti wanagalijua kwamba ukiwa unatoka na mume wa mtu, kisha ukamheshimu na kuiheshimu familia yake, mara nyingine ukamsaidia hata kumfanya aipende familia yake ni kwamba utakuwa na chance kubwa sana ya kufaidi penzi la huyo mtu bila ugomvi.

wanaume wana siri moja wanapenda sana kujaliwa, na kuheshimiwa hisia zao sasa ukimjali na kuheshimu hizia zake kwa familia yake ni kwamba unamfanya awe mtu wa kukupenda sana wewe kuliko kitu chochote. wewe ni hawara siku moja moja mwambie huyo bwana hebu leo twende shopping ama nipe hela nikanunue nguo basi akikupa unanunua moja yako na nyingine ya bi mkubwa akija unampa unamwambia kabisaa sio kila siku navaa mm na mwenzangu pia. ukweli huyu mwanaume atakuwa na heshima sana kwako.

pia muda mwingine anakuja kwako kagombana na mkewe basi wewe usianze uonyesha kwamba mkewe ni mkosa ila mwonyeshe jinsi ambavuo katika lile kosa hakuitumia vyema nafasi yake ya ubaba uone tena ujitahd kuhakikisha kwamba hata home anatengeneza amani irudi na mkewe. mtingishie kiberiti kwamba kama huna amani kwako basi kwangu usije manake nataka uje ukiwa na raha tufurahie maisha. huyu mwanaume lazima atadumu na wewe hawara milele.

NB naomba ieleweke kwamba siufagilii umalaya ila hapa najaribu kuonyesha uhalisia kabisa ambao unatakiwa kuwepo wakati ambapo hii dhahama imesha ingia. kwa vyvyote vile ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin una mimbinu wewe? Utadhani sio yule wa kwenye PM

mimbinu gani tena Bujibuji?? manake nafkiri kila kitu kwenye maisha lazima kiwe na factor of safety kwamba if a is NA then alternative shld be B.

sasa mume kashndwa kujizuia kucheat basi lazima wewe unayetumika kufacilitate huo uchitaji basi uwe na huruma kidogo na busara kwa mwenzio.
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji kageuka mzee wa upako kiukweli -_- mie nlidhani ni fiksi tuu za 21/12/2012, hongera na keep it up
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom