Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
We kijana hujui umuhimu wa PM...
Cantalisia chezea kudondokewa na moyo wa mtu.......nimeacha shughuli zote nimekuja kumsikiliza yeye.....Heaven on earth popote ulipo come this way kuna mtu huku moyo wake umekudondokea complitili!
hahaaa wii mbona umenichekesha sana....Ombi lako mode naamin watalifanyia kazi
heaven on ethii thina la kuthema kabithaaa............ni kama thiamini thiamini vile......
hahahaaa...... Wii si unaona watu wana kuPM hadharani jamani
barua inamapungufu kbao kama hutaongeza yafuatayo szani kama atakuelewa!
1.sili silali nakuwaza ww tu
2.Nakuota ww tu kila siku
3. Nikinywa maji nakuona kweny glass
4.nikisikia jina lako tu moyo wangu unadundadunda cku zngne unapasuka kabsa
NB.umesahau kuchora moyo
Cantalisia chezea kudondokewa na moyo wa mtu.......nimeacha shughuli zote nimekuja kumsikiliza yeye.....
Lakini mdogo wangu Heaven on earth mbona mahari tushakula sie?Au huyu anatafuta kumwagiwa tindikali?Maana shem ninavyomjua,toka mchana anatembea na kopo sijui ni la tindikali!!Bamkubwa Kaizer ebu mueleze huyu kijana anaipenda kweli ngozi yake!
DEMBA hichi kizizi nimekitoa sumbawanga ndio maana nyota yangu inang'ara sanaheeee heeee chezea maloveeee mtu amesahau hadi ametutajia jina la kwenye birth certificate. hivi Heaven on earth una kizizi ama! mbona wapendwa hivi?
kiwatengu kuna mtu anataka nimpe UTAMU.....hapa sasa pazuri kweli kweli
Mamndenyi hapa ninalist ya kama watu 67 sijui wote niwaonee huruma......Ha ha haaa haaaa uwiiii mwanaume umeamua kumwagika kiold school Heaven on earth mwonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzetu
Martin Andendekisye umekumbwa na nini? Wee si ulisema unaenda kuoa Mwakaleli, sasa imekuwaje umeamua kuoa Uzaramoni Vikindu?
my kaka sungura1980 huwezi jua mnaweza kula mahari nyingine
mwenye dada hakosi MAshemeji sio shemeji MASHEMEJI........
Hahahaaa,ninachokupendea mdogo wangu ndo hicho,ujasiriamali!Huu mwaka hadi uishe tutakuwa tumeishapata mtaji wa kuwekeza kwenye gesi ya Mtwara,nani kasema wazawa hatuna hela!
Mzee kwa nini unanisemea...........Huyu binti aliniambia anatafuta mzee.
Alihadithia na Zahra White mikito ya wazee ikampa hamasa.
Kama wewe ni mzee poa, vinginevyo naona kibuti kinanukia.
Go go.
mwallu na wewe ulishafanyaga hayo yote.........kuchora moyo na kuweka mshale kati pale