Heaven on Earth amempotezea wapi Judgement?

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,689
Reaction score
64,739
Salaam sana wana CC wote;

Nimefanya utafiti wa kina kuhusu tangazo la Judgement la kusudio la kupata mwenzi huku mjengoni
na kabla hajatoa hitimisho Judgement akatoweka mazima.

Kabla ya lile bandiko inaonyesha kuwa Judgement alikuwa karibu sana na Heaven on Earth;

Swali kwa bi dada Heaven on Earth, yuko wapi yule bwana harusi mtarajiwa?
 
Last edited by a moderator:
AISEEEE YANI MMEMFANYIA HIVI NDUGU YANGU Judgement .......DAAAAAA


DAAAA Judgement RUDI NIKUPE AKANANA MMOJA.
 
Last edited by a moderator:
Wa jangwani wote wamehamia stendi mpya,
juzi niliona magari matatu yakigawa vyakula pale
halafu kuna mmoja amefuga ng'ombe pale pale
pengine ni Judgement, ngoja leo nitapitia pale
nikapige mbiu.

mafuriko yamemponyesha? alikuwa ana nyumba pale bondeni, jangwani.
 
Last edited by a moderator:
Judgement usione haya bhana bado kuna watoto wengi wa ukweli humu,rudi mjengoni aiseee
 
Last edited by a moderator:
Judgement huko uliko please njoo
Naona hawa mabinti zangu wanataka kunitoa roho hapa;
Njoo tu useme yaliyokusibu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…