babuukikolo
Senior Member
- Jan 1, 2014
- 146
- 166
Mbona kama kwenye uzi zako zilizopita mara upost boyfriend mchafu, mara mwanaume kumshika makalio....
..punguza uzungu labda ndo sababu...uchafu wa boyfriend huwezi kuja kusemea huku mwambie personally....communication is the key to a successful relationship