Hear what oprah winfrey had to say about men

Tatizo kubwa kwa Oprah katika masuala ya women empowerment..herself she is not a role model...................financial and business succes at expense of long-term companionship is itself an anathema to being a relationships mentor........how many times do we confuse money with wisdom......................................?????????????????????????????

Thats the problem, mtu akiwa na pesa hata aongee pumba, anaoneka sawa tu na media inamsikiliza... I believe ndo akina Trump hao
 
Si tunaweza fata maneno yake tu? kama tunavowasikiliza wachungaji makanisani, tunafata maneno wanayotuambia au vipi Ruta

Gaga tokana na influence yake kwa watu, kuna wamama wana mu idolize huwambii kitu, si wote waweza pembua la kufuata na kuto fuata.. Huwezi jua inawezekana hata kuna ndo zimevunjika kwa ajili ya maneno yake, tatizo these things you never know...
 
Code:
Si tunaweza fata maneno yake tu? kama tunavowasikiliza wachungaji makanisani, tunafata maneno wanayotuambia au vipi Ruta

hata wachungaji hakuna anayewasikiliza kwa sababu actions speak louder than words................................
 
Code:
Thats the problem, mtu akiwa na pesa hata aongee pumba, anaoneka sawa tu na media inamsikiliza... I believe ndo akina Trump hao

spot on....................
 
Code:
Gaga tokana na influence yake kwa watu, kuna wamama wana mu idolize  huwambii kitu, si wote waweza pembua la kufuata na kuto fuata.. Huwezi  jua inawezekana hata kuna ndo zimevunjika kwa ajili ya maneno yake,  tatizo these things you never know...
 
hizi thoeries za maisha are supposed to complement maisha ...but may end up complicating maisha. namtazama mama yangu. never gone to school. has been in her marriage for the past 68 years. of course nae ana ups & down zake but thats life. sometimes tuna-compliment maisha mpaka you lose actually what was finest na unaishia kulalama na kunyoosha vidole kumbe ni theories zimekujaa na unashindwa kuwa practical and straight kwenye maisha yako. bottom line nadhani ni issue yako na spouse wako and bora do your best kweny emazingira yako to make that work
 
Wanawake bwana...kila siku ni hadithi za men, men, men! Kwa nini mnaangaika na men kila siku kama wanawaboa?
 
Wanawake bwana...kila siku ni hadithi za men, men, men! Kwa nini mnaangaika na men kila siku kama wanawaboa?

Chapakazi tutaishi vipi hapa duniani bila nyie men kuwepo??? na vice versa - issue ni kua kitu na suala moja the way anavyolitambua na kufafanua mwanamke ni tofauti kabisa kwa mwanaume anavyolitambua na kufafanua... Kuna kitabu kizuri sana kinaitwa Men are from Mars women from Venus... Hata hivyo hebu fuatilia vizuri thread za hapa MMU yaani almost nyingi ni wanaume wakizungumzia mwanamke either kutaka kumwelewa au kuchambua...
 
my point is simple, why do we spend days talking about two things which are incompatible? Mara nishauri nifanyeje kafanya ivi, mara sijui ivi? anyway...maybe some ppl like such things! for me its an endless discussion....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom