Health consultation for free from dr. Sadru

ukabu

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
212
68
Uzi huu nimeuanzisha makhususi kwa ajili ya kuwasaidia watanzania wenzangu ambao hawana uelewa wa mambo ya afya ili waweze kujipatia ushauri wa afya kuhusu magonjwa mbalimbali ya binadamu.l

Karibuni.
 
nataka kuja ofisin...ofisi zipo wapi...
ushauri ni bure

ubarikiwe.
 
nakujibu kwa PM.consultation huitaj privacy
 
nataka kuja ofisin...ofisi zipo wapi...
ushauri ni bure

ubarikiwe.

Huyo jamaa yupo kitu cha Dom! (refers post nö 3)

Na kwa vile wewe upo jiji la lawama, hata mimi ni dakitari!
Na kwa wewe, sikutopa ushauri tu, bali nitakutibu bureeeeeee...!

wewe tu na roho yako!
 
Huyo jamaa yupo kitu cha Dom! (refers post nö 3)

Na kwa vile wewe upo jiji la lawama, hata mimi ni dakitari!
Na kwa wewe, sikutopa ushauri tu, bali nitakutibu bureeeeeee...!

wewe tu na roho yako!

Ha ha ha thanks soo much my Dr.
Shhhh naogopa folen watu wakijua wewe dr hasa ni mtaalum wa kutibu watakusumbua ..
I need to enjoy myself
 
NDUGU ICHANA NATUMAI MAJIBU YAMEJITOSHELEZA KMA UNA DUKUDUKU USIJAL PM kma kawaida
 
Uzi huu nimeuanzisha makhususi kwa ajili ya kuwasaidia watanzania wenzangu ambao hawana uelewa wa mambo ya afya ili waweze kujipatia ushauri wa afya kuhusu magonjwa mbalimbali ya binadamu.

Mnakaribishwa 0759212578, muda ni kuanzia sa 12 jioni hadi saa 5 usiku.

Karibuni.

Unatibu magonjwa gan
 
igwe sr mi natoa health consultation ambapo kwa mtu yeyote akiwa na shida yoyote anakaribishwa na kuuliza na atapewa huduma bureeee..hi ni kwa watanzania wote
 
Habari Dr,nlikua naomba kufahamishwa kuhusu vipele kutokea mwilini mana vmeanza kuntokea na nikiweka dawa ya mswak,ndan ya siku 3 vnapasuka vyenyewe ila vilianza miguuni na sasa kimeota kimoja usoni,Je nini sabab ya vipele kutokea na naweza zuiaje visitokee?

Nna Warts na nimejaribu dawa fulani kwa wiki kama 2 na cjaona mabadiliko yoyote,Je kuna dawa yoyote ambayo unaifaham yaweza nisaidia?

Nawasilisha
 
kimsing hapo naona kama una concern mbil ya vipele na nyingine ya warts ..au.unamaanisha.una warts tu na kma ni.warts za sehem.gan na je ni kwa mda gan
 
warts imedumu kwa muda kama wa zaid ya miaka 3 na ivi vipele ni vinakuja na kuondoka so ni vitu viwili hapa nimevitaja
 
Dokta mimi nitakutafuta kwa sms je zitajibiwa?
Uzi huu nimeuanzisha
makhususi kwa ajili ya kuwasaidia watanzania wenzangu ambao hawana
uelewa wa mambo ya afya ili waweze kujipatia ushauri wa afya kuhusu
magonjwa mbalimbali ya binadamu.

Mnakaribishwa 0759212578, muda ni kuanzia sa 12 jioni hadi saa 5 usiku.


Karibuni.
 
Back
Top Bottom