Headings zenye utata

Mjomba wa taifa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
231
161
"Mchungaji abaka kondoo wake"

Kijana mmoja katika kijiji cha nyamitweibhili aliyekuwa akichunga kondoo amekutwa akila mambo na kondoo aliemfunga kamba katika mti.
 
"Mchungaji abaka kondoo wake"

Kijana mmoja katika kijiji cha nyamitweibhili aliyekuwa akichunga kondoo amekutwa akila mambo na kondoo aliemfunga kamba katika mti.

mbo mpenza ndani ya kumamoto...

Mwanasoka mwenye asili ya dr congo mbo mpenza atatambulishwa rasm na timu yake ya hiroshima sc katka uwanja wake wa nyumbani wa kumamoto huko japan
 
mbo mpenza ndani ya kumamoto...

Mwanasoka mwenye asili ya dr congo mbo mpenza atatambulishwa rasm na timu yake ya hiroshima sc katka uwanja wake wa nyumbani wa kumamoto huko japan

Kiswahili bana, haaaaaaaah!!!
 
Inamoto amekutwa anafila kumas
mchezaji mwenye asili ya japani anayejulikana kwa jina la Inamoto amekutwa
na jezi zenye nembo ya fila katika mji wa Kumas huko Ghana
 
mbo mpenza ndani ya kumamoto...
Mwanasoka mwenye asili ya dr congo mbo mpenza atatambulishwa rasm na timu yake ya hiroshima sc katka uwanja wake wa nyumbani wa kumamoto huko japan
hiii daah nimechekaa
 
Mchungaji Kabaka na watoto wake wa kike

Mchunagaji wa kanisa la KKKT Lushoto Bwana Kabaka alienda kanisani na watoto wake wa kike kutoa sadaka ya shukrani.
 
1. "Ally Choki awekwa ndani Uingereza"

Nguli wa mziki wa dansi ally choki al-maarufu kama mzee wa farasi alifikia nyumbani kwa mwanamama ambaye ndio manager wake" hapa unaweza ukafikiri alienda mahabusu

2."Samson atoka na mtoto wa mfalme"

Msanii wa njimbo za injili samson ameshakamilisha album yake ambayo inaitwa mtoto wa mfalme yenye nyimbo nane,akichezesha taya na mwandishi wetu samson alisema nyimbo zote zimekamilika na album itaingia sokoni wiki ijayo.

Hapa unaweza ukafiri kwamba samson anatoka kimapenzi na mtoto wa mfalme

Note:Hayo ni baadhi ya magazeti yalitoka mda kidogo,ally choki lilikua gazeti la shigongo na samson lilikua Lete Raha la jumapili miaka mi2 au mi3 iliyopita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom