vicent tibaijuka
JF-Expert Member
- Mar 22, 2012
- 268
- 59
jaribu kupima pressure! angalia sana si dalili nzuri! kama hata huoni mbali lazima uende haraka kwa dr. pia yaweza kuwa kipanda uso. nenda kama unanguvu sasa hivi uombe pimwa malaria kama una homa, BP, nk.Kuumwa kichwa kila siku,mtu akiinama anaenda moja kwa moja,na kuna wakati haoni mbali na kupata kizunguzungu,na kichwani kuchoma choma kwa ndani.Akilala kitandani anaona kama anazunguka.
ukiona kinaendelea fanya kipimo cha CT, yaweza kuwa cancer ya ubongo!!Asante kwa ushauri wako,nimepima malaria, BP na homa sina.Dr.ameniandikia Flamar x,nitumie kwa siku tano.Kuna rafiki yangu kaniambia ni dalili ya kipanda uso.Lakini kichwa kinagonga kweli.
POLE SANA NDG. TATIZO KAMA HILO LILIMSUMBUA SANA NDG YANGU KWA ZAIDI YA MIAKA 10, ALIKUWA ANAZIMIA NA KUDONDOKA HADI AKAACHA KAZI ILA MWAKA JANA ALIPATA TIBA KUTOKA KAMPUNI IITWAYO TIENS/TIANSHI KW KUNUNUA KIFAA KIMOJA KINAITWA HYPERTENSION APPARATUS(COMB), NA BAADHI YA VIRUTUBISHO HADI SASA BADALA YA PANADOL 8 MPAKA 13 KWA SIKU KWA SASA ANATUMIA PANADOL 2 KWA SIKU MOJAMOJA KWA HOFU. ILA MPAKA SASA AMESHAPONA NA KAZI AMEANZA. KAMA UNGEPENDA KUWASILIANA NA WATAALAM HAWA TEMBELEA www.tiens.com, www.aftiens.com au sema ulipo ili nikuelekeze ofisi iliyokaribu na wewe. wasiliana nami kwa 0755569494Kuumwa kichwa kila siku,mtu akiinama anaenda moja kwa moja,na kuna wakati haoni mbali na kupata kizunguzungu,na kichwani kuchoma choma kwa ndani.Akilala kitandani anaona kama anazunguka.
kuna aina nyingi za maumivu ya kichwa. Hivyo inabidi utoe maelezo ya kujitosheleza ya jinsi kichwa kinavyouma.
umri , kazi na mazingira ya kazi, stress, matumizi ya dye kwenye nywele, constipation, infections e.g malaria etc zinaweza kusababisha kichwa kuuma. Tafadhali muone daktari.
Usitumie computer mda mrefu.
Usile nyama za makopo/kusaka/sambusa etc