Headache au maumivu ya kichwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Headache au maumivu ya kichwa

Discussion in 'JF Doctor' started by MpigaKura, Feb 2, 2007.

 1. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2007
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Headache is a common pain. It can happen at any age and can often be the result of your lifestyle. As pain is your body's way of saying 'HELP', if you can find out the cause of your headaches and learn how to deal with it, you can usually cut down the number of headaches you get and how painful they are.

  There are several common types of headaches.

  Tension Headache
  Stress, worry and anxiety can cause pain at the back of your neck or across the top of your forehead. It can feel like a band around your head or weight on top of your head. Working in the same position for many hours (such as using a computer) may make a tension headache worse and last longer.

  Migraine
  Migraine pain commonly occurs on one side of the head and when severe, may throb in time with your pulse. If your headache is a migraine, you may not be able to bear light, noise or strong smells. You may also feel sick and sometimes vomit. Some people have warning signs before a migraine starts, such as flashing lights or numbness and tingling in their arms, legs or face.

  Cluster Headache
  Severe pain occurs behind one eye or on one half of the head, with redness and watering of the eye and blockage of the nostril on that side. It can last for 10 minutes to two hours and may occur again several times in 24 hours, often waking the person from sleep. These headaches occur in bouts (clusters) usually lasting for weeks or months and are separated by pain free periods of months or years.

  Sinus Headache
  Blocked sinuses cause pain above the eyebrows, between the eyes and in the cheekbones. The pain is worse when waking up or bending over.

  IMPORTANT: Consult your doctor if;
  1. Your headache is not relieved by the self-care tips on this card or lasts for more than 24 hours.
  2. Your headache starts after exercise, sex, straining or coughing.
  3. You get drowsy, confused, have trouble remembering things have a fever, joints and muscle pains, a stiff neck, loss of balance, or sight problems with your headache.
  4. You have a sudden, new, severe headache.
  5. Your headache occurs after a head injury.
  6. Your headache comes back and is more severe.

  CAUSES
  Some people find that certain things start (trigger) their headaches. Triggers aren't the same for everyone and they can be different for the same person at different times. Triggers include;
  1. Stress, tension.
  2. Hormonal changes e.g. periods, periods, pregnancy, the oral contraceptive pill hormone replacement therapy.
  3. Coffee withdrawal, too much alcohol, fasting, missing meals, too little or too much sleep.
  4. Glare or cold, windy weather, some medicines.
  5. Stuffy, smoke-filled rooms.

  TAKE CARE TO:
  1. Use a chart or calendar to keep a simple daily record of your activities and headaches to find your trigger factors.
  2. Avoid trigger factors.
  3. Have someone massage your tense muscles.
  4. Plan ahead - rearrange activities to remove stress, let others help.
  5. Learn to relax -
  6. Exercise regularly.
  7. Eat regular healthy meals.
  8. Get regular sleep.
  9. Be prepared for hormonal changes.
  10. Wear sunglasses to reduce glare.
  11. Drink 6-8 glasses of water each day. Check with your doctor first if you have kidney or heart problems.
  12. Drink plenty of water before going to bed if you have had too much alcohol.
  13. Have a regular break if you work in the same position all day.

  MEDICINES
  1. Simple pain relievers can help e.g. paracetamol, aspirin, ibuprofen
  2. For sinus area, use an inhalation or a decongestant).
  3. Your doctor may prescribe other medicines for severe headaches or migraines.
  4. Take the right dose of medicine. Your doctor and pharmacist will tell you how much
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Jul 1, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Natumaini hapa tuna madaktari bingwa pia mnaopitia uwanja huu ambao mnaweza kunisaidia.

  Nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya kichwa kwa muda mrefu. Nimepewa sababu nyingi na madaktari lakini sijaridhika nazo. Aidha niliwahi kuambiwa tatizo ni kichwa cha "migraine" ambapo nilipewa dose ambayo haikufua dafu. Kichwa hiki kimekuwa kero kwangu japo ni vigumu kuelezea kinaumaje. Yani upande wa mbele wa kichwa wakati mwingine unakuwa wa moto SANA na mishipa inakuwa imenitoka juu ya nyusi.

  Nimewahi kusoma hapa JF kwenye topic hii na kukuta maelezo ambayo nilijaribu kuyafuatilia lakini hayajasaidia kwa kiwango kikubwa japo yalinisaidia kwa muda flani ila maumivu yamerejea.

  Naomba msaada zaidi pls!
   
 3. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  If maji hayajakusaidia ... hasa before intake of anything in the morning .. b'se this helps to clean the stomach as a dirty stomach pia inacause headache .. then ni macho ... kama huvai mawani already then visit the optician ... if unavaa then power imechange you still have to see the doctor ... otherwise it can also be pressure .... best advise muone daktari as soon as possible
   
 4. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Pole sana,Usikute Mambo ya Ugomvi wa Baba na Mwana na wanataka kukushughulikia(Mungu akuepushie Mbali)..

  Hope Daktari atakusaidia.Mie huw ainanitokesa sana..Punguza muda wa kuandika Mistari na iwe unalala kwa massa atleast manane.
   
 5. H

  Haika JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kama ni migraine then my dear ni lazima ujue signal zake kabla haijaanza kabisa meza pain killer headex au kali zaidi. usingoje kichanganyie.
  Ila haina tiba zaidi. Haina madhara zaidi.
  tafuta giza, hewa safi basi inapita baada ya masaa hadhaa.
  ila kama si yenyewe basi fuata maelekezo ya naimaomari.
   
 6. Kisura

  Kisura JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2008
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 363
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Umejaribu kutumia Excedrin Migraine? Hii ndio inakata mizizi yote ya fitina ya migrane.
   
 7. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  What do you mean exactly, you are convinced it is not migraine?
   
 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wikipedia wanazungumzia alternative medicines, Herbal and nutritional supplements pamoja na treatments nyingine kadhaa.
   
 9. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2008
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu hebu jaribu kucheki macho, unaweza ukakuta unasumbuliwa na tatizo la macho so unahitaji miwani ya macho (ya kusomea) au unahitaji miwani ya kuzuia mwanga mkali.

  Pia, jaribu kwenda hospitali ukapime blood volume, manake ni kawaida mtu kuumwa kichwa sana na kujisikia kuchoka sana pale unapokua na damu nyingi kupita kipimo cha kawaida, au unapopungukiwa na damu pia.

  Ingwaje mimi sio daktari lakini nakushauri kujaribu hayo mambo mawili kwanza halafu utupe majibu kama bado kichwa kinauma.
   
 10. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  it may be typhoid pia inacause headache
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...bahati mbaya watu wengi wanapoumwa kichwa hawajui/hawakumbuki kuumwa kichwa ni dalili tu ya ugonjwa au tatizo fulani, mfano;

  *kuna wengine wasipokunywa chai (hasa ya rangi) wataumwa kichwa

  *wengine wakiwa stressed wanaumwa kichwa

  *wengi wakipata malaria, flu, nk wanaumwa kichwa

  *wenye matatizo ya kuona pia wanaumwa kichwa

  *dalili za mwanzo za stroke ni kuumwa kichwa

  *ukiwa na hangover utaumwa kichwa
  ...nk nk...

  ...invisible nakumbuka kuna post uliwahi kusema uliwahi kupata depression, nakushauri uwasiliane na GP/daktari wako, umwambie full medical history yako na msisitizie akufanyie full medical examination.

  Inawezekana tatizo lipo deep kuliko unavyolifikiria. Unahitaji ushauri wa kitaalamu zaidi kuliko tutaokushauri unywe PANADOL.

   
 12. LadyMzuri

  LadyMzuri Member

  #12
  Jul 2, 2008
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 50
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Pole Invisible. Jaribu kucheki na damu pia. Sometime ikiwa nyingi au pungufu inaleta matatizo ya kichwa, do the scan - madaktari msaidieni inaitwaje...where they check full head, brain etc.
   
 13. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  Matatizo mengine yanaweza yakawa ni geographical. Unaweza ukarudi hapa bongo ukakaa mwaka mmoja tatizo likaisha. For example one type of depression is called "winter darkness depression" that may be caused by melatonin hormone which is produced in dim light and darkness by the pineal gland.

  .
   
 14. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #14
  Jul 2, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mkuu Gembe, kwangu ni ngumu. Huwa siandiki sana lakini nasoma sana. Nisiposoma sana sijui itakuwaje?!?

  Ni habari mbaya kwangu hii dadangu haika jamani!

  Nimeinukuu na naenda kuangalia madukani kama inapatikana. Ahsante kwa pendekezo hili.

  Mkuu naiogopa miwani ile mbaya. Basi nitajaaribu kuangalia macho maana nshaambiwa na wengi juu ya hili.

  Huu ndio wasiwasi wangu mkubwa. Inabidi nikapime typhoid pia.

  Daktari wangu kaniambia nijiandae kufanyiwa Full medical Examination next week. Nitakufahamisheni nini kimejiri.

  Damu...! Hilo ni sahihi. Damu najua ninayo nyingi. Hata kutoa huwa naogopa kwani wanadai ukianza kutoa hukomi!

  Ahsanteni nyote kwa maelekezo na majibu yenu. Nayapa umuhimu mkubwa sana
   
 15. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Pole invisible...
  Kama ni migraine pia epuka kula chocolate!
   
 16. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #16
  Jul 5, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Hehehehe hiyo chocolate kama unaongelea ya kawaida basi situmii mama. Thanks kwa ushauri, dah hiyo sijatumia. Labda kama watumia tafsida hapo ndipo pagumu kidogo
   
 17. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Invisible,

  Moja, Wewe ni mtumiaji wa computer sana.... nina amini matumizi marefu ya computer screen, haswa aina ya CRT yanaweza kukufanya uwe na maumivu ya kichwa. Katika kutafuta sababu za kuumwa kichwa, naomba ujaribu kutotumia screen kwa muda wa siku kama 10 hivi mfululizo, this includes watching TV.

  Pili, Naamini wewe unatumia sana simu ya mkononi, mobilephone. Na inawezekana wala hautumii headset au vile vi-bluetooth vya siku hizi... kwa hiyo simu unakuwa nayo kwenye sikio kwa muda mrefu. Again, katika kutafuta sababu za maumivu ya kichwa, jaribu kuacha kutumia simu ya mkononi, haswa kwa kuiweka kichwani kwa siku kama 14 hivi, ili kujua kama ni simu ndiyo inayosababisha..... Swala hili linanipeleka kwenye namba tatu.

  Tatu, pahala unapoishi au kufanyia kazi au pahala unapopoa, je kuna mlingoti wa wa mitambo ya kurushia mawasiliano?... Swala hili na la pili vinahusiana na mambo ya electromagnetic waves. Wanasayansi bado wanafanya utafiti kuhusiana na hizi speculation. Lakini mimi nina uhakika na simu za mikononi, ya kwamba nikiiweka sikioni muda mrefu, kichwa kina chemka... hiii siongopi hata kidogo.... ndiyo maana matumizi yangu ya simu na hakikisha sipitilizi. Nimechunguza na kutathimini mimi mwenyewe kuhusiana na maumivu ya kichwa.... mara nyingi kinaponipata, jana yake inakuwa nilikaa kwenye simu ya mkononi kwa muda mrefu.

  Nne, milingoti yenye umeme mkali, national grids; again, kwa namna fulani hivi naamini zinarusha electromagnetic waves ambazo zinaweza kuathiri miili yetu.

  Naomba kuishia hapa. Hope utafanikiwa kutatua tatizo la kichwa, walau basi kujua chanzo.

  SteveD.
   
 18. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #18
  Jul 5, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Eh! Sasa SteveD ndugu yangu naona unanizuia maisha!

  Hivi inawezekana kukaa mbali na pc kwa wiki? Hata Tv? Na simu? Then maisha yatakuwaje?
   
 19. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nimesema JARIBU!

  Remedies zipo za aina nyingi, nyingine zinahusiana na lifestyle... Hicho kichwa kama kimeanza toka utotoni ambako naamini hukujihusisha sana na computer au TV then majaribio haya hayatakuwa na maana. Hata hivyo, hata kama ulijihusisha na computer na TV utotoni, saa nyingine madhara yake hayaonekani moja kwa moja hadi hapo umri unapokua... I don't, these are not scientific researches by steved.. but they are simply theories. It's ya choice son...unaweza kujaribisha, utakuwa si ujiko kwangu kwa kuleta research hizi... bali ni maombi yangu tu miye upone, kwa njia zozote zile... AMEN! ;)
   
 20. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Wala hakuna tafsida ..its chocolate as in chocolate..plain
  meaning kabisa. With all the prayers from goodwishers hapa JF...His Almighty atakuponesha tu.
   
Loading...