He was a traitor and not a Liberator/ opposition

He was a traitor and not a Liberator/ opposition

CHADEMA
Kwa hyo, mkiingia madarakani (ijapo haitatokea), mtavunja hilo bwawa kisa limejengwa na serikali iliyo chini ya ccm?

Tecdema ni kundi la kihuni
CHADEMA Sio ccm wanao vunja miradi ya maji eti kisa ilitolewa na CHADEMA maendeleo yeyote yenye lengo la kuboresha maisha ya wananchi no salama kabisa bila kujali yametoka upande gani
 
Mbowe ni jabali la siasa nchini. Uzuri ni kwamba kapiga zake kimya nyie povu linawatoka. Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza sapoti siasa za kihuni zinazofanywa na Heche & Lissu. Pia ni udikteta kulazimisha kila mtu afuate mnavyotaka nyie.
 
Kinachoumiza alikuwa anajua kabisa dhamira yake haikuwa ya ukombozi lakini bado akasababisha familia nyingi sasa hivi hazina ndugu zao.

Waendelee kupumzika kwa amani wakina Ben Saanane, Mawazo, Soka, Mzee Kibao na wengine wote waliouawa wakimuamini huyo mshenzi
Nilimstukia siku ile wamekula pini wakiwa na komredi sumu ya nyigu. Akuguswa Ila sumu ya nyigu alikuwa kipondo heavy haswa.
 
Umegusa roho yangu. WATOTO wa wati walikufa kumuunga mkono "mtetea haki",.kumbe ni traitor!
Bora sasa umeanza kuona kile nilichokiona muda mrefu kwa Mbowe. Toka 2015 baada ya Mbowe kumpokea Lowassa, nilisema sina imani hata chembe na Mbowe. Hakuna mwanaccm alikuwa ananielewa hasa huku jf, leo kila mmoja anajionea mara baada ya kupoteza cheo alichokuwa anataka kufia hapo. Watu walikuwa serious na mabadiliko, yeye analinda maslahi yake kwa kisingizio cha siasa za kistaarabu.
 
Mkuu mbona unalazimisha mtazamo wako ndiyo uwe mtazamo wa kila Mtanzania, na adui yako we adui wa kila mtu?
Kila mtu ana namna yake ya kuyaendea mambo na usilazimishe kuwa na universal perception juu ya mtu ama jambo fulani.
Tafuta pesa mwanangu, ni umasikini ndiyo unafanya uwe na chuki hata kwa watu ambao hawajakukosea. Njaa ina tabia ya kuleta hasira
1. 1+1=2. Hii haina njaa ni universal natural maths unless it is matrimonial mathematics
2. Right thinking member of a society will come to a conclusion of that nature taking into consideration of 39 yrs he ws pretending to fight for justice!
3. My being on earth is not for material gain. This is yours and not mine.
4. LASTLY avoid ad hominem arguments
 
1. 1+1=2. Hii haina njaa ni universal natural maths unless it is matrimonial mathematics
2. Right thinking member of a society will come to a conclusion of that nature taking into consideration of 39 yrs he ws pretending to fight for justice!
3. My being on earth is not for material gain. This is yours and not mine.
4. LASTLY avoid ad hominem arguments
Mkuu kwenye game ya politics huwa hakuna permanent friend ama permanent enemy. Politics is all about interests and opportunity.

Watu huzichanga karata zao kwa kulenga interests, opportunity ndiyo inaamua strategy. Hata huyo Dotto magari anayeshinda mahakamani hiyo ndiyo strategy aliyoichagua kufikia interest zake.

Epuka kuwa mtaji wa wanasiasa na kuacha kupambania mahitaji yako ya msingi na familia yako. Maisha yako no jukumu lako, hakuna atakayefanya on your behalf kwakuwa kila mtu anapambania ndoto zake.

Ukimuelewa Niccolo Machiavelli hutahadaika na mienendo ya wanasiasa. Rudi darasani kajifunze politics
 
Wachagga waruteri hawanaga ustaarabu mbele ya pesa. Angalia jinsi askofu Shoo alivyo badilika ghafla baada ya kumwagiwa noti na Samia
Daah
Umehukumu watu wengi wasiokuwa na hatia sababu ya Freeman Aikaeli M.
 
Back
Top Bottom