He Una Picha Za Kusisimua?

He Una Picha Za Kusisimua?

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Mtu yeyote anayependa kupiga picha au mwenye picha yoyote ya kuvutia ya eneo, tukio, wanyama, shuguli, na taswira za aina yoyote, tafadhali zitume kwenda kwenye blog maalum kwa ajili ya taswira tu.

Pia ukiwa ni mtu mwenye hobby ya kupiga picha ambazo zinaozea ndani ya Camera, tafadhali tutumie

Picha zote zinazosisimua zinakaribishwa ili mradi hazivunji maadili ya kijamii na pia haziumizi hisia za watu.
 
KAMA HIZI?
pIZPY9ZGgEE.jpg
 
halafu tukishatuma inakuaje? mi ninazo tatu. kama hamna hela ntazibandika hapa jf mzichukue. nina movie ya seconds 28 ya mwinyi alivyo tandikwa kofi. Nina picha ya jamaa serikalini akipokea rushwa, nina picha ya jamaa wanzilishi wa ccj. Hela zenu tu. Mia
 
nahisi kuibiwa kura kura hivi......
nina hakika gani hutabadilisha picha zangu useme nimewapigia kura........?
SIDANGANYIKI........
 
CUTE na wewe una vituko....mbona hizi picha hazifanani na wewe? Huo ugali nimeupenda ila hiyo mboga mwanangu inanikumbusha mateso ya boardi
 
Cutie na wewe una vituko....mbona hizi picha hazifanani na wewe?
Huo ugali nimeupenda ila hiyo mboga mwanangu inanikumbusha mateso ya boarding... Lol...
Mkirua hahhaa yote haya ni katika ile hali ya kutaka kumsisimua mkuuCCM-MAMA
 
halafu tukishatuma inakuaje? mi ninazo tatu. kama hamna hela ntazibandika hapa jf mzichukue. nina movie ya seconds 28 ya mwinyi alivyo tandikwa kofi. Nina picha ya jamaa serikalini akipokea rushwa, nina picha ya jamaa wanzilishi wa ccj. Hela zenu tu. Mia


nakuaminia mzee wa maphoto.
Ucje ukatoa ile picha yangu nlopga na Messi
 
120610-hosni-mubarak-vmed-10a[1].jpg hujafa hujaumbika
 

Attachments

  • imagesCA3AZDUM.jpg
    imagesCA3AZDUM.jpg
    7.4 KB · Views: 156
Back
Top Bottom