kwa shoga huyo mpaka akakuweka kumbukumbu hata baada ya miaka kumi ni lazima #ulimtafuna[/URL] tena ulimkoleza laana tullaay
Mambo zenu?
Ni hivi kuna kaka mmoja alihamia mtaani kwetu lakini huyu kaka alikuwa ni kipikipiki wenzake wanakiendesha,walimnyanyapaa kwa kweli pale kitaani kwetu,mimi nilikuwa nikimtoa toa sam taimu akiniomba msaada nilikuwa sisiti kumsaidia kwa kuwa ni binadamu mwenzangu na isitoshe hakuwa na ndugu ambao walikuwa wakija kumtembelea kwa kweli na mimi wala sikutaka kujua sababu zilizomfanya huyu mwanaume mwenzangu akubali kuhemewa.
Basi ilifika wakati huyu shoga akahama pale mtaani kwetu na mimi sikujua ni wapi alikohamia.
Baada ya miaka kama 10 kupita huyu kaka kaja nyumbani kwetu kunitafuta na aliponipata akaniambia ya kwamba anataka kunipa zawadi ya nyumba nichague mimi ni maeneo gani kati ya haya(Manzese,migomigo,kino na mbagala) ili aninunulie lakini kwa sharti la kwamba siku ya ufunguzi wa nyumba atafanya sherehe ya kunikabidhi akiwa pamoja na mume wake aliyempata huko Ulaya na baadhi ya mashoga wengine wa jijini Da sa am nao watakuwepo,
Je,unadhani ndugu zangu watanielewa vipi kwenye suala hili?
Je,niikubali hii ofa au nimtolee mbavuni?
Nalog off

Usipoangalia jamaa lazima 'akuwashe washe' ndugu yangu Washawasha !
Aisee hapo kimbia tena kwa miguu yako yote miwili ikiwezekana uibebe na miguu upate spidi. Kuna movie moja nilipata kuiangalia na hao majamaa wanambinu nyingi sana za kuwaingiza watu katika hiyo ishu na moja ya njia kubwa wazitumiazo ni kutumia fedha walionayo.
Utapewa hiyo nyumba na wewe utakuwepo, watakutegeshea kitu chochote e.g. kukupulizia dawa ya usingizi, kukuwekea madawa kwenye kinywaji au kukuchanganyia na pombe kali, ukipiga tu hiyo unalewa na kupoetza fahamu kabisa, jamaa wanakula tigo (the same ilitokea katika hiyo movies). Baada ya hapo nawe unakuwa mfuasi
Kuwa makini, acha tamaa, mkimbie huyo jamaa aisee
ndio yeye ni mgongo wa chura wala hajifichi,ila hii ofa inakuwaje?
Nalog off
Hapana kaka wala sikumgegeda ila nafikiri yupo katika harakati za kutaka kulipa fadhila.Wewe ulimgegeda vizuri kiasi kwamba mpaka kakukumbuka...Mtu akupe nyumba kirahisi rahisi hivi....?
Sawa bi dada itanibidi niikatae zawadi yake hii.Mwanaume wewe umepewa nguvu na Mungu kutafuta hela zako kiuhalali,ivo tafuta hela jenga nyumba yako achana na vya bure maana ni gharama.
Hiki ni kipikipiki labda kinilazimishe nikiendeshe!Usipoangalia jamaa lazima 'akuwashe washe' ndugu yangu Washawasha !
Na ndio maana analipa fadhila.No free lunch
nimekuelewa bi dada.ina maana huyu kaifuatisha nyimbo hii.Huyo amekuchukulia km rafiki uluyemthamini kipindi cha shida, endapo ungekua na rafiki wa kawaida akakupa hiyi nyumba ungekubali?
Ninachomaanisha hapa mtreat km unavyotreat marafiki wengine. Usikatae sabab ya udhaifu wake kataa ama kubali sababu ni rafiki aliyekuthamini.
Just curious, kesho umepata janga n he is the only 1 who can help u, would u refuse?
Umeona eh! bora nifanye hivyo.Dah, nalog off
Hapana kaka sikuwahi kumuwasha.'sio bure wee inaonyesha ulimu Washawasha asee'