He mjukuu wangu wee wa Kikwere. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

He mjukuu wangu wee wa Kikwere.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Feb 26, 2009.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Yaani bibi anamshangaa mjukuu wake ,jukuu nalo linachekelea tu .
  Mafisadi wanakushinda ,Pemba umeenda kutibua kama haitoshi watu wanajifanyia wanavyotaka bora nawewe ufungue biashala hapo Ikulu. :D
   
 2. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 929
  Likes Received: 696
  Trophy Points: 180
  Ukiona bibi kaamuka kuja Ikulu, bila shaka kuna jambo. Ama serikali hii haipeleki mafungu ya kumtunza bibi, au ugomvi wa mkwere na Butika umepata msuluhishi.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Baija,
  Mimi si shabiki wa Mkwere lakini kwa hili anastahili sifa. Wakati wa Mkapa umeme ulikuwa unakatwa kila mara pale Msasani. Lakini tangu Kikwete aingie mamlakani amemjali sana
  our first lady hata mandhari ya Msasani inapendeza sana ukipatembelea.
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ila hii picha ina ujumbe mzito sana maana wanasema ,Picha inaweza kusema maneno zaidi ya elfu moja.

  Ukiiangali picha utaona bibi anavyomaka ,pia unaweza kusema inawezekana kumwambia Kikwete unavyofanya si vizuri ,au mambo yako siyaelewi pengine anaambiwa ulifikiri Uraisi ni kuuza njugu.
  Na Kikwete kwa anavyojichekelea anaona huyu kizee zake zishakwisha hana jipya.
   
Loading...