Juzi alipokuja balozi wa Burundi ikulu kuonana na Magufuli alimuhakikishia Burundi ni shwari na ipo tayari kupokea jukumu la ukatibu mkuu EAC, tusubiri tuone kama itakuaMnh Burundi si naskia wamekataliwa eti anaingia mbongo
Mbona jana kwenye vyombo vya habari wameenda viongozi kibao wa nchi tofauti tofauti wa kina Rais wa kwa madiba Zuma, Rais wa Gabon, na wengineo mwenyeji wa akiwa Nkurunziza!Juzi alipokuja balozi wa Burundi ikulu kuonana na Magufuli alimuhakikishia Burundi ni shwari na ipo tayari kupokea jukumu la ukatibu mkuu EAC, tusubiri tuone kama itakua