Mimi na mdogo wangu wa kike ambaye anasoma form 3 tumehamia makao mapya. Nyumba hiyo tuliyohamia inatazamana na nyumba ya majirani fulani, ambapo kuna watoto kadha wa kike na wa kiume.
Kipindi fulani nilipata kugundua kwamba dogo fulani wa nyumba hiyo ya jirani anamfukuzia mdogo wangu kwa udi na uvumba.
Najua mdogo wangu hadanganyiki, lakini ishu hiyo iliniboa kishenzi maana namsomesha huyu dadangu kwa kujinyima. Nikaamua kiume kumwita huyo dogo mbele ya wazazi wake na kumpa maneno makali na kumtaka aachane na kumlostisha dadandu haraka iwezekanavyo.Dogo alikoma na hiyo tabia moja kwa moja hadi sasa.
Lakini, ndugu mwanaJF, NAPENDA nikwambieni kwamba Kitabu kimenirudia mimi sasa.
Ni kwamba kumbe nyumba hiyo ina mdada mmoja ambaye alikuwa sijui safari...sijui labda college, sa ndo kawasili hapa majuzi kati. Huyo dada ni mtata wandugu. Yuko bomba mwanzo-mwisho, yaani amekamilika, na pia ni mpole, anasalimia fresh mbaya!.
Kwakweli, kwahali aliyo nayo, niko tayari kubeba kwa jumla.
Nilipofuatilia mtaa wakanambia yuko single, ambapo nami niko hivyo!
Sasa wanaJF itakuwaje hii mambo, je hawa akina dogo mashemeji watanielewaje na watanipokeaje?
Embu nipeni ushauri jamani, nateseka na huyu mdada!
kachumbieSijui nisemeje dadaangu Mama 5Js.
Ndo hivyo, nimependa, unanishauri nifanyeje sasa?
mhuu BAK nakupa kudos;watu wengine bwana kumbe huyu anatudanganya aseme kaoa au vipiMkuu PJ,
Hebu verify tena status yako. Are you single, married au vyote!? LOL!.... Hebu angalia hapa chini...LOL
Circumsicion IMETUVURUGA...
PakaJimmy4th September 2009, 10:01 AM
Tumemfanyia mtoto wetu circumsicion.
Mke wangu anasema haturuhusiwi kufanya tendo la ndoa hadi wiki moja ipite, maana tukithubutu tu, mtoto atachukua muda mrefu zaidi kupona. Mi sikubaliani na madai yake na nilifikia hatua ya kumwadhibu kidogo, lakini ameshikilia msimamo!
Je wanaJFkuna ukweli gani juu ya madai ya huyu mwanamke?
mhuu BAK nakupa kudos;watu wengine bwana kumbe huyu anatudanganya aseme kaoa au vipi
Si nitapata shida sana kwa hawa mashemeji, maana mimi nilikuwa mbogo kwao walipojaribu kum-do dadaangu...!
wewe kumbe una mke acha kutaka kumchezea dada wa watu ohooohSi nitapata shida sana kwa hawa mashemeji, maana mimi nilikuwa mbogo kwao walipojaribu kum-do dadaangu...!
Mkuu PJ,
Hebu verify tena status yako. Are you single, married au vyote!? LOL!.... Hebu angalia hapa chini...LOL!
Mkuu PJ,
Hebu verify tena status yako. Are you single, married au vyote!? LOL!.... Hebu angalia hapa chini...LOL!
Circumsicion IMETUVURUGA...
PakaJimmy4th September 2009, 10:01 AM
Tumemfanyia mtoto wetu circumsicion.
Mke wangu anasema haturuhusiwi kufanya tendo la ndoa hadi wiki moja ipite, maana tukithubutu tu, mtoto atachukua muda mrefu zaidi kupona. Mi sikubaliani na madai yake na nilifikia hatua ya kumwadhibu kidogo, lakini ameshikilia msimamo!
Je wanaJFkuna ukweli gani juu ya madai ya huyu mwanamke?
Ndo maana namwambia anipigie pande mimi hilo yeye ana wife alafu anamendea nyumba ya 2 dah mzee utaumbuka bure nipigie pande hilo.
mhuu BAK nakupa kudos;watu wengine bwana kumbe huyu anatudanganya aseme kaoa au vipi
Pole mzee. hayo ni mambo mawili tofauti, Yule dogo(shemejio) alikuwa na lengo la kumhalibia dada yako maisha na wewe kama ni kweli una lengo jema anza tu taratibu za kumsomesha huyo binti na utafanikiwa. lakini usimpotezee muda wake, kwani usichotaka kufanyiwa wewe usimfanyie mwenzio. Ni kawaida katika maisha kwani watu huweza kuwa maadui wakubwa na baada ya muda wakawa marafiki wa kutupwa. Kumbuka kwamba ukisha mchukua dada yao wewe utakuwa ndugu yao, hivyo hakutakuwa na uadui tena.