He!...Kumbe nyumba hii ina Malaika!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
Mimi na mdogo wangu wa kike ambaye anasoma form 3 tumehamia makao mapya. Nyumba hiyo tuliyohamia inatazamana na nyumba ya majirani fulani, ambapo kuna watoto kadha wa kike na wa kiume.

Kipindi fulani nilipata kugundua kwamba dogo fulani wa nyumba hiyo ya jirani anamfukuzia mdogo wangu kwa udi na uvumba.

Najua mdogo wangu hadanganyiki, lakini ishu hiyo iliniboa kishenzi maana namsomesha huyu dadangu kwa kujinyima. Nikaamua kiume kumwita huyo dogo mbele ya wazazi wake na kumpa maneno makali na kumtaka aachane na kumlostisha dadandu haraka iwezekanavyo.Dogo alikoma na hiyo tabia moja kwa moja hadi sasa.

Lakini, ndugu mwanaJF, NAPENDA nikwambieni kwamba Kitabu kimenirudia mimi sasa.
Ni kwamba kumbe nyumba hiyo ina mdada mmoja ambaye alikuwa sijui safari...sijui labda college, sa ndo kawasili hapa majuzi kati. Huyo dada ni mtata wandugu. Yuko bomba mwanzo-mwisho, yaani amekamilika, na pia ni mpole, anasalimia fresh mbaya!.
Kwakweli, kwahali aliyo nayo, niko tayari kubeba kwa jumla.

Nilipofuatilia mtaa wakanambia yuko single, ambapo nami niko hivyo!

Sasa wanaJF itakuwaje hii mambo, je hawa akina dogo mashemeji watanielewaje na watanipokeaje?

Embu nipeni ushauri jamani, nateseka na huyu mdada!
 
du wakaka bwana mnaonea wivu dada zenu wakimegwa huku nyie mnamendea dada za wenzenu
 
Mkuu PJ,

Hebu verify tena status yako. Are you single, married au vyote!? LOL!.... Hebu angalia hapa chini...LOL!

Circumsicion IMETUVURUGA...
PakaJimmy
user_online.gif
4th September 2009, 10:01 AM

Tumemfanyia mtoto wetu circumsicion.

Mke wangu anasema haturuhusiwi kufanya tendo la ndoa hadi wiki moja ipite, maana tukithubutu tu, mtoto atachukua muda mrefu zaidi kupona. Mi sikubaliani na madai yake na nilifikia hatua ya kumwadhibu kidogo, lakini ameshikilia msimamo!
Je wanaJFkuna ukweli gani juu ya madai ya huyu mwanamke?
 
Hahahahaa mkuu mkuki kwa Nguruwe nawewe meza mate tu.
Nipigie pande mm basi inakuwa fresh ukimkosa wewe mm nala.
 
Mkuu PJ,

Hebu verify tena status yako. Are you single, married au vyote!? LOL!.... Hebu angalia hapa chini...LOL

Circumsicion IMETUVURUGA...
PakaJimmy
user_online.gif
4th September 2009, 10:01 AM

Tumemfanyia mtoto wetu circumsicion.

Mke wangu anasema haturuhusiwi kufanya tendo la ndoa hadi wiki moja ipite, maana tukithubutu tu, mtoto atachukua muda mrefu zaidi kupona. Mi sikubaliani na madai yake na nilifikia hatua ya kumwadhibu kidogo, lakini ameshikilia msimamo!
Je wanaJFkuna ukweli gani juu ya madai ya huyu mwanamke?

mhuu BAK nakupa kudos;watu wengine bwana kumbe huyu anatudanganya aseme kaoa au vipi
 
Pakajimmy inawezekana anataka kumega nje ya ndoa naona ni mmoja wa kina MBA
 
mhuu BAK nakupa kudos;watu wengine bwana kumbe huyu anatudanganya aseme kaoa au vipi

Ndo maana namwambia anipigie pande mimi hilo yeye ana wife alafu anamendea nyumba ya 2 dah mzee utaumbuka bure nipigie pande hilo.
 
Si nitapata shida sana kwa hawa mashemeji, maana mimi nilikuwa mbogo kwao walipojaribu kum-do dadaangu...!

Tatizo wewe tayari una mke tuachie wenzio wewe tayari ni MBA sasa hamu ya nini kwa huyo wa jirani?
 
Mkuu PJ, bora tu ubadilishe status yako na kuweka MBA au MBU...LOL!
 
Mkuu PJ,

Hebu verify tena status yako. Are you single, married au vyote!? LOL!.... Hebu angalia hapa chini...LOL!

BAK Mheshimiwa...!
Hamjasahau ishu ya Circumsicion tu?

By ze way, Hiyo isikupe Shaka. Nina situations nyingi live hapa kwangu na kwa ndugu zangu ambazo zinatusumbua sana, kwahiyo sometimes navaa husika.

Kimsingi mimi ni Single. Hebu nambie mkuu, kwa uzoefu wako ungefanyaje hapa.
 
Pole mzee. hayo ni mambo mawili tofauti, Yule dogo(shemejio) alikuwa na lengo la kumhalibia dada yako maisha na wewe kama ni kweli una lengo jema anza tu taratibu za kumsomesha huyo binti na utafanikiwa. lakini usimpotezee muda wake, kwani usichotaka kufanyiwa wewe usimfanyie mwenzio. Ni kawaida katika maisha kwani watu huweza kuwa maadui wakubwa na baada ya muda wakawa marafiki wa kutupwa. Kumbuka kwamba ukisha mchukua dada yao wewe utakuwa ndugu yao, hivyo hakutakuwa na uadui tena.
 
Mkuu PJ,

Hebu verify tena status yako. Are you single, married au vyote!? LOL!.... Hebu angalia hapa chini...LOL!

Circumsicion IMETUVURUGA...
PakaJimmy
user_online.gif
4th September 2009, 10:01 AM

Tumemfanyia mtoto wetu circumsicion.

Mke wangu anasema haturuhusiwi kufanya tendo la ndoa hadi wiki moja ipite, maana tukithubutu tu, mtoto atachukua muda mrefu zaidi kupona. Mi sikubaliani na madai yake na nilifikia hatua ya kumwadhibu kidogo, lakini ameshikilia msimamo!
Je wanaJFkuna ukweli gani juu ya madai ya huyu mwanamke?

BAK.....Kula 5! I like JF Kwakweli....nimeikumbuka sana hii thread, kabla sijaitafuta naona mzee umeshaimwaga hapa sebuleni....ha!ha!ha!haaaa....i like this very much!

Pakajimmy, this is JF bana.....people don't forget things easily bana...acha usanii wako.....kuwa wazi that u want to be MBA bac!

Kwa details zaidi jinsi huyu jamaa anavyotuchezea akili gonga hapa

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/37944-circumsicion-imetuvuruga.html

Tena huko alishasema zaidi ya kuwa na bibie aliyezaa naye mtoto kabla yake alikuwa na CHEUSI ambaye kwa madai yake kama my wife wake angeendelea kumzingua alikuwa amrudie huyo cheusi!
 
Ndo maana namwambia anipigie pande mimi hilo yeye ana wife alafu anamendea nyumba ya 2 dah mzee utaumbuka bure nipigie pande hilo.

Lol...kwa jinsi alivyo mmhh...kwa huyu sikupi contact zake
Labda nikutumie contact za mwinginewe yuko Ngarenaro.
 
Pole mzee. hayo ni mambo mawili tofauti, Yule dogo(shemejio) alikuwa na lengo la kumhalibia dada yako maisha na wewe kama ni kweli una lengo jema anza tu taratibu za kumsomesha huyo binti na utafanikiwa. lakini usimpotezee muda wake, kwani usichotaka kufanyiwa wewe usimfanyie mwenzio. Ni kawaida katika maisha kwani watu huweza kuwa maadui wakubwa na baada ya muda wakawa marafiki wa kutupwa. Kumbuka kwamba ukisha mchukua dada yao wewe utakuwa ndugu yao, hivyo hakutakuwa na uadui tena.

Kudos Mr II.
I better try this way, japo kwa caution kubwa sana.!
 
Fumba macho tu jifanye hukumbuki ulichokifanya halafu fanya mambo kwa huyo dada mtu, kwani tatizo nini Bana?
 
Back
Top Bottom