haha lol DRAMA :A S crown-1: http://2.s06.jamiiforums.com/count/juGw/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1.jpg
Sasa huko KUJIDANGANYA! Kwani usposema uliyoyafanya YATAFUTIKA? Thubutuuuuuuuuuu! Bora uyaseme seme tu upunguze nyongo mwilini!Teh teh teh teh mie umsifie X wako hadi walioku Free P ni bonge la dharau kwakwel hata kama ni zamani,,,labda tumetofautiana maana kuna m/ume na mvulana!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
lara 1 pole kwa ban,,ulifanya nini lakini?Mi nikajua utakuwa umemchuna mods na hutaki kutoa P!!Tulikumiss,kuna dada anashukuru kwa kumtafutia kazi mumewe na tena umemtafutia kazi bila gharama yoyote na wala hujamtongoza!!!!
Sasa huko KUJIDANGANYA! Kwani usposema uliyoyafanya YATAFUTIKA? Thubutuuuuuuuuuu! Bora uyaseme seme tu upunguze nyongo mwilini!
NYIE SI NDO MNANIPINGA DAILY MNASIFIA FREE P? Hela ya kununua unayo au unajikosha tu hapa! Asilimia kubwa FREE P tu HATA MKIBISHA MOYONI MNAISOMA KIMYA KIMYA!
HAHAAAAAAAAAAAAAA! We tibua tu zaidiiiiii! Unaona moto unawaka hapa unamwagia PETROLI JUU! We mbayaaaaaaaa! Ila umenichekeaha huzuni atiiii! hahaaaaaaaa!Af wafupi hawa wanajuaga kweli kupenda.....nahisi kwa sababu wanajua hawapendwi so wakishikwa wanashikamana haswaa..