He he he heeeJK HUYOOOOOOOOOOO

wakati naishi Tanesco pale ubalozi miaka ya 90, JK alikua ni mmoja wa walezi wa Pazi ambayo nayo ilikua inatumia viwanja vya pale kama home ground..
 
Duh, Mkuu nimecheza sana pale na kina Mmbinga, Patrik, Wazambia fulani etc. Umenikumbusha mbali.
 
Hahaha...unamkumbuka Muhogo Mchungu, John Ntambwe "Wa Mafuta" R.I.P, Dudu R.I.P(Kaka yake Henry), Henry Mwinuka, Gwantwa na Gwakisa Mwasakyeni, Yassin, Shabani the list goes on....kitambo sana hapo ndio tunajifunza kikapu timu ya watoto wa Tanesco
 
Haa ha, Wengi nawakumbuka kumbuka, Unamkumbuka Dada Mmoja alikua anabezi hivi, Play maker mzuri sana. Sijui kama wliendelea na Game baada ya sisi kuondoka. Kunawakati nilirudi nilipopita pale zilikua sura mpya tupu.
 
mwaka 95 mwanzoni nilihama mkoa kabisa na kuondoka hapo(maana nilikua naishi pale pale kota za Tanesco)...
since then sikuwa tena na habari za hapo zaidi ya kufuatilia magazetini...
Pazi ilikua na wachezaji wazuri sana...baadae wakaja Vijana kabla ya Savio kudominate game ya kikapu hadi leo...
 
Ushamba na ulimbekeni mwingine kumbe haujui umri wala cheo. Kwani aliyeweka sheria ya kuvaa jezi wadhani njinga kama huyo kilaza wenu?
kuna sheria inayosema kuvaa nguo za michezo ni lazima!!!by the way nguo za michezo hazitakiwa kuwa kikwazo cha mtu kushiriki michezo!!!!anyway kwake yeye anao uwezo wa kuwa na nguo za michezo!!!
 
67834_500036493360281_1225706747_n.jpg

Wetu huyo!,,
 
Back
Top Bottom