Hdmi cabble

Wapi nitapata hiyo cabble na kwa bei gani

Kama upo Dar nenda KDV ipo karibu na Bilicanas au inatazamana na kituo cha Mafuta PUMA kilichopo nyuma ya extelecom house. Bei niliulizia wanauza Tshs 25,000/=, na ina urefu wa 1.5m
 
ndugu mbona hii kitu kariakoo kwenye maduka ya computers bei chee tu sh 5000 aisee... na dimension hiyo hiyo 1.5m aisee
 
Mkuu mbona zinapatikana karibu kila duka linalouza vifaa vya eletronics.

Na bei zake ni za chini kabisa kuanzia Tsh. 3,500 na kuendelea kulingana na eneo duka lilipo, we mwenyewe ulivyo na mood ya muuzaji.
 
Kwa anayejuwa anayejuwa maduka ya kariakoo, atakuwa ameshanielewa... Kwa mfano kuna circuit breaker za ABB ukienda pale kwa Elecsol, bei zake na ubora (geniune ABB) ni tofauti na za kariakoo... AU anayejuwa earth rod, akaone zile za 4,000/= na za 55,000/= ndo atanielewa... Hivi hujawahi kwenda dukani ukaambiwa hiki hapa bei hii lakini ukitaka hiki bei hii... the same kwa HDMI cable
 
Sasa nimekoma kununua vitu bila kuulizia JF maana Mlima City waliniliza Tsh 40,000/= hivi (karibu na mlango wa kuingilia Shoprite) kwa urefu karibu huo huo
 
Kwa anayejuwa anayejuwa maduka ya kariakoo, atakuwa ameshanielewa... Kwa mfano kuna circuit breaker za ABB ukienda pale kwa Elecsol, bei zake na ubora (geniune ABB) ni tofauti na za kariakoo... AU anayejuwa earth rod, akaone zile za 4,000/= na za 55,000/= ndo atanielewa... Hivi hujawahi kwenda dukani ukaambiwa hiki hapa bei hii lakini ukitaka hiki bei hii... the same kwa HDMI cable

umesomeka kiongozi...... hizi earth rod za buku 4 zina yeyuka kabisa baada ya 3 years...... lakini itaenda miaka mingapi hadi zifikie gharama ya buku 55.??
 
Back
Top Bottom