Hayuko serious

Hayuko serious

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
Hayuko serious!!!!!!!!!!!

Simu ya binti inaita ngriiiiiiiiiii ngriiiiiiiiiii. Binti anapokea. Jamaa upande wa pili akaanza:

Jamaa: Haloo mpenzi, vipi hali yako?
Binti: Kichwa kinanigonga si mchezo, sijui ni maleria au ni kichwa tu! Naumwa sana. Uko wapi swirii?
Jamaa: Niko town my dear. Natamani nije kukuona baadaye, nikuletee nini?
Binti: Wow! Mpenzi unanipenda sana. Niletee Chipsi Kuku, Ice Cream, Chocolate, na lile gauni na viatu ulivyoniambia, na vocha ya buku 10 please!
Jamaa: Nilikuwa najua unaumwa ila naona uongo umekuzidi.
Binti: Khaa, naumwa mwenzio! Tena sana. Kwani vipi we mwanaume?!
Jamaa: Na mbona hiyo list ya vitu umetaja hakuna hata Panadol?!
Binti: Jamani, ni kujisahau tu mpenzi wangu!
Jamaa: Hauko serious! Chapa mwendo.









 
Wajinga ndo waliwao hahahahhahahha hudumia kaka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahaha nimempenda kaka kashituka mapema hiyo ndo midege isiyoliwa kaka ndo yuko serious hihi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom