Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
umeona eeh!Wamekimbia majibu.....
leo sitoki hapa mpaka wayaanike kweupeeeeee, kama hili tangazo lao la kupima
umeona eeh!Wamekimbia majibu.....
Wamekimbia majibu.....
Acha hizo za kubuni buni.
umeona eeh!
leo sitoki hapa mpaka wayaanike kweupeeeeee, kama hili tangazo lao la kupima
Aku kila mmoja ana majibu yake
hasa Mrs Bishanga na Zahra White sina imani nao manake wamekuja
kama wanafukuza mwizi hata watokako hakujulikani. The secretary ananyonyesha hana tatizo ni mzima
Walikuja na nyodo mshindo siJui wameishia wapi
@relax Mrs Bishanga,jina kubwa wewe
eti eh?
I understand Bishanga. I'm the lady of substance the only queen of swaga.